Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukishatembea huku umekaa imeisha hiyo.Hao vijana itasikia wanasema IST sio gari.[emoji23][emoji23][emoji23]
Bado hm aujatuma.Kwamba uweke akiba ya elfu 3 kila siku bila kukosa hata siku moja kwa miaka mitano? Uyo msukuma toroli unajua anapata shilingi ngapi? baada ya kutoa matumizi yake unajua anabakiwa na shilingi ngapi? Bado hajaumwa(atahitaji hela ya matibabu na hataenda kibaruani) , hajalipa kodi ya geto, umeme n.k nyie motivesheni spika bhana [emoji3][emoji3][emoji3]
Sasa kama ma tabula rasa akina nanii ndio wakuu wa mikoa, waenezi wanangoa madokta kwenye nafasi zao, akina giggy money wana fanya biashara za uchi na wanakaa apprtments mikocheni wanalipa kwa dola, wakati kuna watu na digree zao mwaka wa 5 huu wapo wanazunguka na bahasha mikononi,Sio kila asiyetoboa hana akili,
Maisha ni FUMBO kubwa sana
IST ilipoingia ilikuwa 7 m unapata mpya, kwa sasa ni 16m ila kwakuwa wamekariri maisha wanahisi bei ni ile ile .Hao vijana itasikia wanasema IST sio gari.[emoji23][emoji23][emoji23]
Bakhresa ametajirika kwa kuuza chapati na maandazi.Kuna mda huwa nawaza naishia kucheka tu [emoji3][emoji3][emoji3], ivi mtu una miaka zaidi ya saba wewe unauzaga popcorn tu, wengine wanatembeza Maji barabarani nusra wagongwe na magari Kwa faida ya elfu tano kwa siku.
Mtaji ni changamoto lakini ebu sisi kama vijana tujitahidi kusave kidogo kidogo ili tutoke huko kwenye uchuuzi wa hand to mouth, upo Dar miaka zaidi ya kumi hutaki kurudi kwenu afu biashara yenyewe unauza mahindi ya kuchoma vyombo Dovya. Huna akili.
Kuna waliofilisika kwa kuuza chapati na maandazi, tusikariri.Bakhresa ametajirika kwa kuuza chapati na maandazi.
Utajiri ni spritual.
Usikariri kila mtu akafanye biashara ya mbao.
Ukitaka kujua kuwa we si mtanzania Omba Passport.Duh ina maana Dar ishakuwa saturated since 2000's!
Japo hii mentality ya kuhitaji connection naona tunayo sana sisi wabongo. Mbona wenzetu wasomali, wakenya, wa nigeria na wale wa west africa hua wanaenda nchi za watu, hakuna wanaemjua, wanapambana mpaka wanatoboa
Lakn sisi wabongo mtu kutoka tu hapo mwanza kuja dar anahtaji connection!!
Yy mwenyewe hana connection ya kumtoa kwny ualimu hahahaConnection hamtoi na mnaona bora mfe nazo tukiuza Maji bara barani mnatucheka kwamba hatutoboi daah...
Mithali 30:8Kuna mda huwa nawaza naishia kucheka tu [emoji3][emoji3][emoji3], ivi mtu una miaka zaidi ya saba wewe unauzaga popcorn tu, wengine wanatembeza Maji barabarani nusra wagongwe na magari Kwa faida ya elfu tano kwa siku.
Mtaji ni changamoto lakini ebu sisi kama vijana tujitahidi kusave kidogo kidogo ili tutoke huko kwenye uchuuzi wa hand to mouth, upo Dar miaka zaidi ya kumi hutaki kurudi kwenu afu biashara yenyewe unauza mahindi ya kuchoma vyombo Dovya. Huna akili.
Inasikitisha sana,waje huku nanjilinji tulime ufuta na mbaazi mbona watu wanatajirika tena ndani ya msimu mmoja tu.
Watu wakipata unafuu wa maisha Wana dharau aiseeNi vizuri kuja na suluhisho mbadala na sio kuponda kazi za watu
Acheni watu wahangaike na maisha kwa namna ambavyo ni halali bila kuvunja sheria hata kama anapata 5000 kwa siku, nani amekuambia kwamba watauza maji/popcorn maisha yao yote, kama wewe unafikiri umefanikiwa, waonyeshe njia ya mafanikio hatua kwa hatua sio kukandiaKuna mda huwa nawaza naishia kucheka tu [emoji3][emoji3][emoji3], ivi mtu una miaka zaidi ya saba wewe unauzaga popcorn tu, wengine wanatembeza Maji barabarani nusra wagongwe na magari Kwa faida ya elfu tano kwa siku.
Mtaji ni changamoto lakini ebu sisi kama vijana tujitahidi kusave kidogo kidogo ili tutoke huko kwenye uchuuzi wa hand to mouth, upo Dar miaka zaidi ya kumi hutaki kurudi kwenu afu biashara yenyewe unauza mahindi ya kuchoma vyombo Dovya. Huna akili.
Kazi nyingi wanazo fanya vijana wa dar faida huwa zinaanzia 20k hadi 50k huwezi ishi kwa kipato cha elfu tano maisha ya darAcheni watu wahangaike na maisha kwa namna ambavyo ni halali bila kuvunja sheria hata kama anapata 5000 kwa siku, nani amekuambia kwamba watauza maji/popcorn maisha yao yote, kama wewe unafikiri umefanikiwa, waonyeshe njia ya mafanikio hatua kwa hatua sio kukandia
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Anaona wanawake wanafaidi😃😃Bora wao hawajakata tamaa na kuomba Mungu angewaumba wanawake kama wewe Mpwayungu ulivyokua unalalamika kwanini hukuumbwa mwanamke...hahaahaha
Kuna watu dar wanapaona kama USA vile.Kuna mda huwa nawaza naishia kucheka tu [emoji3][emoji3][emoji3], ivi mtu una miaka zaidi ya saba wewe unauzaga popcorn tu, wengine wanatembeza Maji barabarani nusra wagongwe na magari Kwa faida ya elfu tano kwa siku.