Uncle Elroy
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 1,177
- 1,090
Fomu TZS Laki 1 tu ili kupunguza ushindani unaweza kuandaa Milioni 3 ukagawa kwa vijana wasiojielewa wakajichukulie fomu ili kamati iwaone sio mtu mzima unapita kwa kunyata
Hahaha aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fomu TZS Laki 1 tu ili kupunguza ushindani unaweza kuandaa Milioni 3 ukagawa kwa vijana wasiojielewa wakajichukulie fomu ili kamati iwaone sio mtu mzima unapita kwa kunyata
Mmeshaambiwa kujitangaza ni kosa la kinizamu ndani ya ccm ya chatooWatia nia kwenye kinyang'anyiro cha ubunge Arusha mpaka sasa wanakadiliwa kufikia 40 kwa wale walichokua fomu na miongoni mwao ni kijana mdogo wa chuo kikuu cha Dodoma UDOM ambaye amejitokeza kuchukua fomu na kusubiri kwa hamu kurudisha fomu na kuomba kudra za kikao cha kuteua jina moja.
View attachment 1506743
PICHA: Ibzan Michael (kushoto) akipokea fomu za kuwania ubunge jimbo la arusha mjini kutoka kwa katibu wa ccm.
Ibzan mwenye umri wa miaka 24 ameoneka kuwa ndiye mtia nia ya ubunge mdogo yawezekana kuliko wote wanaochukua fomu kwa tiketi ya CCM, anasema ana sababu nyingi zilizompelekea kuchukua fomu, japo muda wa kampeni bado ila anasema miongoni mwa sababu kama kijana anaona vijana wenye rika kama yeye wengi bado hawajapewa nafasi na fulsa hivyo wana changamoto ikiwemo ajira.
Ameongeza kuwa amejipanga kimwili, kiakili, akiwa na akili timamu huku akitambua kila mtu amezaliwa akiwa na utofauti wa kitu chake cha msingi, hicho ndicho kinacholeta utofauti katika nyanja ya uongozi.
Hata hivyo Ibzan anajiandaa kukumbana na majina makubwa ambayo bado hayajachukua fomu ukiachilia mbali meya aliyepita Kalist Lazaro ambaye kachukua fomu leo, majina hayo yanatajwa lakini bado wanatizamiwa kuchukua fomu siku za mbele kabla ya tatehe ya mwisho July 17.2020.
Mtia nia Ibzan anatembea akiwa na nia inayopewa nguvu ya kauli mbiu yake isemayo I born to impact the societies.
NB. Vijana wanaonyesha ujasiri wangali na damu changa kwenye wigo wa siasa zenye ushindani.