Kijana jipende, jithamini jiwekee akiba usitie huruma wabongo na michango yao ya kiwaki

Kijana jipende, jithamini jiwekee akiba usitie huruma wabongo na michango yao ya kiwaki

Miguel Felix Gallardo

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2024
Posts
2,841
Reaction score
5,218
Hivi aliyetuloga ni nani????!!!!

Mtu anaakili kweli, mtu mzima kabisa anajua kabisa life limetyt mithili ya skin tyt na bado anapitisha michango ya kipuuzi.

Nani aliyetuloga waTz kuwa fantacies zako zitakuwa fullfilled with my poor pockets.Who are you!!! seriuosly GADEMIT!!!

Yaani unanifata uninipa kadi ya harusi mchango laki nanusu singo, double 200K why,how and where did you get this CONFIDENCE??!!!

My friends ladies and gentlomen you gat to be serious.Haya maisha tutaonana wabaya sanaaa gademit.This life mambo ya kipuuzi mimi sitaki.michango ya kipuuzi puuzi sijui HARUSI,MARA KUSAFIRISHA MSIBA NO NO NO NOOOOO Kwani akizikwa hapa bila kusafirisha anagoma kuingia kaburini!!!!

Kama noma na iwe noma!!!

Tunaishi mara moja tusitishana ohhh mtnaitenga GADEMIT kwanza nyie masikini kinitenga ndo vizuri poor you,na kwanza naenda KUPUNGUZA UWEKEZAJI WANGU UTT NIPELEKE N.I.C NGOJA NIKAKATE BIMA YA MAISHA TCB bank ili mkinitisha mnanitenga bima yangu itaniokoa.

KULIKO KUENDELEA KUFURAHIA NA KUJAZANA UJINGA WA KUFANIKISHA FANTACIES ZA WATU HIYO HELA ZA KUCHANGIA HARUSI ZA MILLIONI 30 KUPITIA MIFUKO YA WATU NA KUSAFIRISHA MAITI NAWEKEZA KWENYE BIMA YA MAISHA.

🚨KIJANA JIPENDE,JITHAMINI JIWEKEE AKIBA USITIE HURUMA WABONGO WACHAWI NA MICHANGO YAO YA KIWAKI:MIFUKO YA UWEKEZAJI YA PAMOJA(UTT, FAIDA FUND) NDIO SULUHISHO LA AKIBA ZAKO BORA HELA IKACOMPOUND HUKO KULIKO KUNUNUA SAHANI YA WALI,KIPANDE CHA TIKITI MAJI NA NUSU KUKU NA BIA NNE KWA LAKI MBILI(200K).HUU NI UJINGA KIWANGO CHA KUHUDHUNISHA.HIYO HELA NENDA N.I.C(NATIONAL INSURANCE COOPERATION UKATE BIMA YA MAISHA).

📌UJINGA STAKI TENA GADEMIT!!!
 
Mambo ya mamichango harusi, send-off, kitchen party sijui birthday, graduation na upuuzi mwingine mm sitoi pesa yangu !!!! Yani sitoi !

Nachangia vitu muhimu kama msiba ama ugonjwa.... tena ambaye nakuchangia nakuangalia na wewe ni mtoaji? Je unashiriki vilivyo kwenye mambo ya kijamii kama hayo ?

Jitu kisa mmesoma wote primary sijui o level miaka 10+ hamna mawasiliano , unashangaa anatafuta namba yako, anakuadd kwenye WhatsApp grp eti mchango ... mm naleft hapo hapo
 
Niko na kadi tisa mpaka sasa za mialiko ya harusi .
Kila nikitaka kucheka nazichukua naweka juu ya meza nafungua moja baada ya nyingine humo watu wameninafikia sana mara mwingine aanze kwa kuniita mheshimiwa sana ,mara mwingine daktari mkuu wa wakuu yaani wanakijiji naona uchawa wameanza kujifunza ukubwani ila hawalambi hata mia
 
Kwani wewe umesha olewa/Owa?
Sasa unajuwa lini utakufa?
kama hutaki kuzikwa kijijini m acha wasia ili uzikwe mjini , upanuzu wa barara ukija kaburi inavunjwa na mabaki kulipwa fidia na kupelekwa eneo jengine lisilorasmi au yachimwe moto.
 
🚨KIJANA JIPENDE,JITHAMINI JIWEKEE AKIBA USITIE HURUMA WABONGO WACHAWI NA MICHANGO YAO YA KIWAKI:MIFUKO YA UWEKEZAJI YA PAMOJA(UTT, FAIDA FUND) NDIO SULUHISHO LA AKIBA ZAKO BORA HELA IKACOMPOUND HUKO KULIKO KUNUNUA SAHANI YA WALI,KIPANDE CHA TIKITI MAJI NA NUSU KUKU NA BIA NNE KWA LAKI MBILI(200K).HUU NI UJINGA KIWANGO CHA KUHUDHUNISHA.HIYO HELA NENDA N.I.C(NATIONAL INSURANCE COOPERATION UKATE BIMA YA MAISHA).
 
Michango ya harusi/sendoff huwa inaboa pale unapokua maarufu halaafu umejipata,michango haiish mlangoni na kwa kukukomoa wanakupa na kamati ya usafirishaji wanajua lazima gari lako litahusika...

Bad things watoto wako wote wanazalishwa nyumbani na wakiume ni masadali wauza bangi,hawaoi wala hawaolew kwa harusi...
Hapo ndo utajua kutoa ni moyo sio utajiri..
 
Niko na kadi tisa mpaka sasa za mialiko ya harusi .
Kila nikitaka kucheka nazichukua naweka juu ya meza nafungua moja baada ya nyingine humo watu wameninafikia sana mara mwingine aanze kwa kuniita mheshimiwa sana ,mara mwingine daktari mkuu wa wakuu yaani wanakijiji naona uchawa wameanza kujifunza ukubwani ila hawalambi hata mia
Hii nchi kuna ujinga hauwezi kuwatoka waTz kwasababu upo kwenye DNA.

Huu umaskini wa matumizi mabaya ya pesa una Life cycle kama ya inzi😃😃😃

Ni mara mia wanaochangisha wangekuwa wanachangisha ili kuwainua hao wanaoingia kwenye ndoa kwamba dah wajomba tumewachangia hiki nendeni mkaanze maisha msikae kinyonge jamii yenu tumewainua.Ila hawa maskini na mafukara wa akili haki ya nane bora waivuruge hiyo hela wale na wanywe mpaka wavue nguo kuliko wakupe kianzio cha maisha.

WaTz ni mafiiii💩💩💩
 
Michango ya harusi/sendoff huwa inaboa pale unapokua maarufu halaafu umejipata,michango haiish mlangoni na kwa kukukomoa wanakupa na kamati ya usafirishaji wanajua lazima gari lako litahusika...

Bad things watoto wako wote wanazalishwa nyumbani na wakiume ni masadali wauza bangi,hawaoi wala hawaolew kwa harusi...
Hapo ndo utajua kutoa ni moyo sio utajiri..
Huu utaratibu wa kuchangia mambo yasiyo na tija sijui ni ujamaa wa kucopy wapi maana hata mchina hana huo UFALA!
 
Sasa hivi wanaume wanashinda na wadada kwenye kuandaa party , mimi huo ujinga sifanyi ...Kajamaa kamechangisha mpaka mil 25 , kameenda kutumia kwenye harusi ya siku moja ..Huku mshahara wake kwa mwezi ni mil 1.5 , mshambva mzigo .
Akili za kushikiwa na wanawake.

Jamii imevaa kwenye sketi, wanaume hawana msimamo.

wanapelekeshwa kama mazoba, unakuta lijamaa linaona kabisa huu ni ujinga na ulofa kiwango cha PhD ya majalalani ila kwakua anaabudi uchi,huyu zoba anaunga tela subamit!!! wengine wanakopa kabisa ili harusi ifane😂😂😂.Alafu wanakwenda kuteketeza hizo helo walizokomaa miezi na miezi kuchangisha mixer kudaiana kama deni😬😬😬
 
Mmmh bima maisha
changamka kijana tatizo mnapoteza muda mwingi mkizurura mitandaoni tafuteni vitu potential vya kuwasaidia na kuwainua kiuchumi.

Kwa umri wako huo kama huijui BIMA YA MAISHA KUTOKA SHIRIKA LA TAIFA/NATIONAL INSUARENCE COOPERATION (NIC).Na unamiliki smartphone wewe ni bure kabisa!!!

Ndiomaana tunabaguliwa na wazenji yaani tumelala usingizi mzito GADEMIT!!!
 
changamka kijana tatizo mnapoteza muda mwingi mkizurura mitandaoni tafuteni vitu potential vya kuwasaidia na kuwainua kiuchumi.

Kwa umri wako huo kama huijui BIMA YA MAISHA KUTOKA SHIRIKA LA TAIFA/NATIONAL INSUARENCE COOPERATION (NIC).Na unamiliki smartphone wewe ni bure kabisa!!!

Na ni haki tena iwekwe kwenye katiba kabisa MZANZIBARI ANAHAKI YA KUMDHARAU NA KUMBAGUA MTANGANYIKA🙏
Saw bima maisha shingapi
 
Kuna huyu anaomba achangiwe Shilingi milioni 1 afungue Duka la vifaa vya simu,

JV VAR CHECK

 
Back
Top Bottom