Kijana jipende, jithamini jiwekee akiba usitie huruma wabongo na michango yao ya kiwaki

Kijana jipende, jithamini jiwekee akiba usitie huruma wabongo na michango yao ya kiwaki

Siku hizi kama huchangii hata first cousin hamualikwi! Tulizoea miaka 10 nyuma harusi za ndugu tunaambiwa tarehe tu tunajua ma cousin tunaibuka tu na sare zetu 🤣 hatuhitaji kadi, infact tunasubiri tuombwe tujitolee migao mbalimbali we can be your waitresses, your bridesmaids, your show girls eh your chauffeurs, tutakusaidia kufunga zawadi, jamani sansana tunagharamia zawadi tu

mpaka siku moja cousin mmoja akafanya Evolution Mapinduzi Revolution, Akafanya reset matata, first cousin kabisa, wanaenda wenye kadi tu na majina ni haya waliochangia tu kiwango hiki specific! !

Vijana yakatushuka tulivyokuwa tumepania kunywa bia za bure kwenye harusi ya watu hatuna mia mfukoni :2Head:

Huyu ndugu ndo katuletea gundu maana toka hiyo harusi yake ya kututenga wacheza kwaito wa damu kabisa harusi zimekoma kwenye huu ukoo ! ! :2Head:

Anyways,
Jamani hali ngumu za kiuchumi zilitabiriwa hizi siku za mwisho so kila mtu atateseka kwa style yake.

Tuvumiliane.

THE KING IS COMING 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

JESUS IS LORD! !

MAKE WAY FOR THE KING OF KINGS 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Kwani wewe umesha olewa/Owa?
Sasa unajuwa lini utakufa?
kama hutaki kuzikwa kijijini m acha wasia ili uzikwe mjini , upanuzu wa barara ukija kaburi inavunjwa na mabaki kulipwa fidia na kupelekwa eneo jengine lisilorasmi au yachimwe moto.
Wewe unadhani ukizikwa huko mkoani unaongeza nini zaidi ya kusubiri miaka itambae vyakutosha ugeuke fossils kwa kuwa gesi na mafuta watakaokuwepo enzi hizo watoane damu kama Irani na Marekani wakiwagombania.

My friend acha mambo ya kizamani ukishakufa wewe unakuwa huna thamani yoyote tena na ndio maana hata wanaoclaim kukupenda ukifa wanakutenga aidha wakakuhifadhi kwenye friji au wakuwahishe futi sita.

Ukweli ni kuwa ukishakata ringi huna chako wewe ni mzoga kama mizogo mingine.Tupunguze kujipa umuhimu usio na mantiki.

🚨🚨🚨Miji kama ya moshi wanaozikia nyumbani na migombani.Kwa miaka ijayo mashamba na viwanja vyao na nyumba zitakuwa hazina thamani kwenye soko la real estate.Maana ni kichaa pekee ambaye hajui value for money atanunua nyumba au kiwanja chenye kaburi au makaburi.Wachaga acheni uzoba!!!
 
Mimi kuchangia kwangu ni sawa nitatoa,lakini Cha kusikitisha unachangia halafu watu wanakaa siku mbili unasikia wameachana 😅😅😅
 
Nakereka sana kuungwa kwenye hayo magroup ya michango. Mtu hamjawahi. Mtu hamjawahi kuonana tangu mmemaliza primary ghafla tu kakuunga kwenye group la michango eti anaoa. WTF, nitoe mchango kwani huyo mke tutamtomba wote?

Infact group lolote sio uungwana kumuunga mtu bila ridhaa yake. Kuna yale magroup ya bar pia. Umeenda zako bar, unakunywa, manager kaja kukusalimia maongezi kidogo mmebadilishana namba. Asubuhi unawasha data unashangaa umeungwa kwenye group la bar.
 
Hilo la bar mnaongea nn?
 
Back
Top Bottom