Ndy maana nmekuliza kwa jinsi ulivyo na hasira na michango 150k uwezi kuwa na bima ya maisha Acha sie tuendelee kuzurura mtandaonmfano wake huo apo hiyo ni kwa miaka unayotaka wewe usipokufa wala kupata shida unapewa hiyo Million 15,na hata ukifa warithi utakaokuwa umewaandikisha watapewa hela ya mazishi plus gawio lako hata kama muda mliosainishana haujafika . Zipo mpaka za Millioni 40 ni wewe tu na msuli wako wa kuchangia kila mwezi. Na pia wanakopesha mkopo wa hadi millioni 2 kwa riba ya asilimia kma skosei 2 au nne ambapo ni nafuu zaidi kuliko Microfinance na vikoba.
📌Kanuni ya biashara inasema anza na ulichonacho ili ujifunze kukitunza kikubwa unachokiota!!!Kuna huyu anaomba achangiwe Shilingi milioni 1 afungue Duka la vifaa vya simu,
JV VAR CHECK
Membership wa JF Nisaidieni nina Wazo la Biashara ya Electronics - Nahitaji Tsh 1,000,000 kama Mtaji.
Habari za humu wakuu,
Wakuu leo kidogo nimeacha na habari za mishangazi nimekuja kivingine kabisa baada ya kuona umri unasogea na nyumbani simu zinaita kwa mfululizo. Nimekuwa member na nimejifunza sana hapa kuhusu biashara.
WAZO LANGU LA BIASHARA
Nimepanga kuanzisha duka dogo la vifaa vya simu na accessories maeneo ya Bunju, Gongo la mboto au Kisewe
Sababu:
Nimepita ofisi zaidi ya 15 katika maeneo hayo niliyotaja na nimegundua wengi, wanalalamika kupata chaja/earphone kwa bei...
- Poor Brain
- home
- Replies: 101
- Forum: Biashara, Uchumi na Ujasiriamali
"Biashara sio mtaji bali mentality"📌Kanuni ya biashara inasema anza na ulichonacho ili ujifunze kukitunza kikubwa unachokiota!!!
Wale wauza mahindi na wauza sumu ya panya viroboto, wanaelewa vizuri hiyo kanuni.Biashara sio mtaji bali mentality na ubahili uliokithiri.
Huyo mwamba alioomba mtaji wa millioni moja hawezi kudumu kwenye biashara kwasababu hana spirit ya utafutaji.
Akaombe ajira huyo biashara hawezi, over and out!!!!
we nyau hasira yangu ni kukutoa tongotongo ila mwenzio nakula nachotaka nalala napotaka nachakata mbususu wacha kabisa.Ndy maana nmekuliza kwa jinsi ulivyo na hasira na michango 150k uwezi kuwa na bima ya maisha Acha sie tuendelee kuzurura mtandaon
Kiongozi umemaliza kabisa.Sherehe sio dharura, kila mtu ajipange na sherehe yake sio kusumbua watu.Fanya sherehe kulingana na uchumi wako.
Tafuta hela kijana. Haya mambo yanazungumzika ukiwa na hela.Hivi aliyetuloga ni nani????!!!!
Mtu anaakili kweli, mtu mzima kabisa anajua kabisa life limetyt mithili ya skin tyt na bado anapitisha michango ya kipuuzi.
Nani aliyetuloga waTz kuwa fantacies zako zitakuwa fullfilled with my poor pockets.Who are you!!! seriuosly GADEMIT!!!
Yaani unanifata uninipa kadi ya harusi mchango laki nanusu singo, double 200K why,how and where did you get this CONFIDENCE??!!!
My friends ladies and gentlomen you gat to be serious.Haya maisha tutaonana wabaya sanaaa gademit.This life mambo ya kipuuzi mimi sitaki.michango ya kipuuzi puuzi sijui HARUSI,MARA KUSAFIRISHA MSIBA NO NO NO NOOOOO Kwani akizikwa hapa bila kusafirisha anagoma kuingia kaburini!!!!
Kama noma na iwe noma!!!
Tunaishi mara moja tusitishana ohhh mtnaitenga GADEMIT kwanza nyie masikini kinitenga ndo vizuri poor you,na kwanza naenda KUPUNGUZA UWEKEZAJI WANGU UTT NIPELEKE N.I.C NGOJA NIKAKATE BIMA YA MAISHA TCB bank ili mkinitisha mnanitenga bima yangu itaniokoa.
KULIKO KUENDELEA KUFURAHIA NA KUJAZANA UJINGA WA KUFANIKISHA FANTACIES ZA WATU HIYO HELA ZA KUCHANGIA HARUSI ZA MILLIONI 30 KUPITIA MIFUKO YA WATU NA KUSAFIRISHA MAITI NAWEKEZA KWENYE BIMA YA MAISHA.
🚨KIJANA JIPENDE,JITHAMINI JIWEKEE AKIBA USITIE HURUMA WABONGO WACHAWI NA MICHANGO YAO YA KIWAKI:MIFUKO YA UWEKEZAJI YA PAMOJA(UTT, FAIDA FUND) NDIO SULUHISHO LA AKIBA ZAKO BORA HELA IKACOMPOUND HUKO KULIKO KUNUNUA SAHANI YA WALI,KIPANDE CHA TIKITI MAJI NA NUSU KUKU NA BIA NNE KWA LAKI MBILI(200K).HUU NI UJINGA KIWANGO CHA KUHUDHUNISHA.HIYO HELA NENDA N.I.C(NATIONAL INSURANCE COOPERATION UKATE BIMA YA MAISHA).
📌UJINGA STAKI TENA GADEMIT!!!
Muhimu kuyumba. Why tusiserebuke duniani hapa...Hata laki 5 nachangia muhimu bia ziwepo za kutosha tu
Kuna mwingine hapo nimempa mpaka document ya NIC ila alivyo pimbi ameruka kiunzi😄😄😄 kiaina anaanza kunishambulia personaly.Athari za siasa ya ujamaa.
Kuna mwamba nilikua naongea nae anajifanya tajiri balaa anaishi nyumba nzuri yaan mbwembwe kibao nikamwambia sasa tajiri kuthibitisha wewe kweli ni tajiri tuma tu walau 5,000 muda huu kwa hii namba akagoma kutuma, watu wengi wanaoongea na kujisifu hupenda kujisifia vitu wasivyo navyoKULIKO KUENDELEA KUFURAHIA NA KUJAZANA UJINGA WA KUFANIKISHA FANTACIES ZA WATU HIYO HELA ZA KUCHANGIA HARUSI ZA MILLIONI 30 KUPITIA MIFUKO YA WATU NA KUSAFIRISHA MAITI NAWEKEZA KWENYE BIMA YA MAISHA.
My net worth has figures which zinakuvisha,unakunya, unakula,unalomba na unakaa bure nyumba standard mitaa yenye hadhi(good neighbourhood) for 10 good years plus.Tafuta hela kijana. Haya mambo yanazungumzika ukiwa na hela
Basi endelea kutafuta hela mkuu. Laki 2 kwa mtu mwenye hela sio ya kuanzisha uzi.My net worth has figures which zinakuvisha,unakunya unakula,unalomba na unakaa bure nyumba standard mitaa yenye hadhi(good neighbourhood).
wacha masihara kijana.Wewe endeleza uzalendo kwenye ujinga utavuna umasikini.
Kula kwanza _ndy kila mmoja anaelewa umaskini unatia hasira jishikilie ongea na mme wa dada ako atakusaidiawe nyau hasira yangu ni kukutoa tongotongo ila mwenzio nakula nachotaka nalala napotaka nachakata mbususu wacha kabisa.
Pimbilisi wewe shtuka toka magettoni Gademit!!!
Toke it or leave it.Mwaka huu lazima wajinga mbadilike lasivyo mtaendeea kubaguliwa na kuendelea kutiatia huruma mitandaoni.
Ujinga mzigo, alafu ukifatilia wengi ni wamm waliojichokea ndio wana hizi mambo.Mmoja staff kaja kunialika send off, mtu mwenywe mumama miaka karibu 40. Nikamwambia sawa Ahsante sihitaji Card. Akauliza ila karibu mchango ni kias kadhaa nikamwambia SAWA.
Baada ya week kadhaa kaja tena ati Nimekuja kudai Pesa ya Mchango.
Nikamuuliza, KUDAI? KIVIPI ULINIKOPESHA UNAKUJA KUDAI?
Ouh basi naomba ile hela ya Mchango, Nikamjibu SINA.
Mpaka leo kanuna hataki kunisalimia.🤣
Ukafanye sherehe yako ya kipuuzi basi usifate werevu kama unadai deni lako.Kaungane na hamnazo wenzako mkajumuike huko kuteketeza pesa zenu za kuchangisha maskini nyie😅Kiufupi huna hela waache wenye kufanya wafanye huwezi acha
Toka hapo sebuleni kwa shemeji yako, mtu mzima huna info za maana sasa hapa duniani wewe si msindikizaji tu.Kula kwanza _ndy kila mmoja anaelewa umaskini unatia hasira jishikilie ongea na mme wa dada ako atakusaidia