Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Unajichosha kushauri usowajuaUkafanye sherehe yako ya kipuuzi basi usifate werevu kama unadai deni lako.Kaungane na hamnazo wenzako mkajumuike huko kuteketeza pesa zenu za kuchangisha maskini nyieπ
Hata darasani mwalimu anafundisha ila kichwani anajua kuna wajinga kwenye hilo darasa ambao hawatavuka hapo walipo ila kwakua ni mfumo wa kidunia werevu wamechanganyika na makenge basi pindi linagongwa kama hivi.Unajichosha kushauri usowajua
Wewe unadhani ukizikwa huko mkoani unaongeza nini zaidi ya kusubiri miaka itambae vyakutosha ugeuke fossils kwa kuwa gesi na mafuta watakaokuwepo enzi hizo watoane damu kama Irani na Marekani wakiwagombania.Kwani wewe umesha olewa/Owa?
Sasa unajuwa lini utakufa?
kama hutaki kuzikwa kijijini m acha wasia ili uzikwe mjini , upanuzu wa barara ukija kaburi inavunjwa na mabaki kulipwa fidia na kupelekwa eneo jengine lisilorasmi au yachimwe moto.
Hilo la bar mnaongea nn?Nakereka sana kuungwa kwenye hayo magroup ya michango. Mtu hamjawahi. Mtu hamjawahi kuonana tangu mmemaliza primary ghafla tu kakuunga kwenye group la michango eti anaoa. WTF, nitoe mchango kwani huyo mke tutamtomba wote?
Infact group lolote sio uungwana kumuunga mtu bila ridhaa yake. Kuna yale magroup ya bar pia. Umeenda zako bar, unakunywa, manager kaja kukusalimia maongezi kidogo mmebadilishana namba. Asubuhi unawasha data unashangaa umeungwa kwenye group la bar.
Story na ratiba tuza bar mfano siku kuna bendi tangazo linarushwa kwenye group ila mimi nikiungwa kwenye group ambalo sioni maana yake kwangu huwa naleft immediatelyHilo la bar mnaongea nn?