Kijana jitunze, kuteremkia miaka 40+ kuna zimwi linaitwa Kisukari na Presha. Mkeo atakuvumilia?

Kwaiyo ukifanya yote hayo ndo utatoboa miaka 70+?
Miaka 40+ uo umri sio kufanya ngono ni kula Bata kwa Sana.

Mimi nikipata Yale Maisha ya kulala vizuri msosi uhakika yaani hito 40 yrs hata bila ngono naishi fresh
 
Kumbe pesa si kitu kama afya ya mwili ni mbovu huwezi kupiga shoo kwa mwanamke mzuri uliyempata kwa pesa, inabidi apigwe shoo hata na boya asiye na pesa. Cha muhimu ni uimara wa afya mwili kwanza, mwili ukiwa na nguvu uwezo wa kutafuta fedha nao upo. Ulaji na unywaji wa kuharibu afya ni wa kuepukwa, elimu ya lishe bora inahitajika
 
Kweli kabla ya kusoma nliangalia kwanza urefu wa bandiko maana huwa nachoka kusoma......unakuwaga na madini sema uzi unakuwa mrefu sana ...any way asante kwa kutukumbusha ...binafsi nimejifunza jambo ...lazma nijue namna ya kujicontro ..ova
 
Tofauti ipo hapa
1. Asipotafutwa anapata stress
2. Asipotongozwa anapata msongo labda yeye hatoshi au sio mrembo
3. Asiposhawishiwa anajiona yeye sio lolote sio chochote, na anaona analazimishwa
4. Asipotafutwa anajiona hana thamani na anahisi umetafuta wanawake wengine

Hawa viumbe wanawake wana stress mara 3 ya wanaume.
 
Poleni sana
 
Dah pole, umeongea kwa hisia sana and reality.
Nikupongeze pia kwa utayari wako na kuongea bila hofu, lipo la kujifunza hapa
 
Unajizuia vipi na ugonjwa kama kisukari ambapo mwili ghafla unaanza ku resist insulin ???
 
Lakini wote tutazikwa chini
Kwa wanawake wa kizazi hiki,kupigiwa ni nje nje,hata kama una nguvu kama Simba,maisha yetu haya,unaishi nae siku zote,lakini unapigiwa,sasa maisha yetu haya,wewe upo Mtwara mgodini,au msoma,mke yupo Dodoma,hautapigiwa kweli!!!?
Wapige nawe piga,hakuna njia
 
Umeleta huu uzi wa Mwaka aisee 40+! muda muafaka sanaa, sa'bu namm nimesha stuka kuhusu daily gamble,sigara wakati wa kunywa, Asali na matunda ndio rifiki kwasasa bado TIZI tu.....zaidi Pombe weekend tena staki company ya washkaji ni mimi na wife tu, hata budget ya pesa inakaa vizuri zaidi Mungu awenami🙏 ....hayo magonjwa ni noma, sa'bu pia nawaona wale walio kua wakitamba sana awamu ya Nne ya Jakaya sasahv wapole kichiz ktk maswala ya kukamata pisi kali...na vitambi vyao🤔😂😂😂😂
 
Kumbe ndio maana vibibi vitamu sanaaaa....
 
🤣🤣🤣🤣So jamaaa sasa hawakamati pisi kali?
 
Sasa jamani mnasema wanaume tujue kugeggeda lah sivyo mwanamke hatatuvumilia mbona mafunzo ya kugegegda yenyewe hayatolewi. Na je sie vibamia inakuwaje?
 
Enewei vipi huko jezi mpya za Simba mmeshapata wote?
 
Uzi ungetakiwa uwe pale juu, ili tuwe tunakumbushiana jinsi ya kula healthy foods, ukiangalia vijana wa Dar es salaam na wa mikoani wako tofauti sana miili yao, vijana wa Dar miili yao imejaa jaa ovyo,
Pia hawana ukakamavu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…