Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #21
Nawaza hao wa kahama utashangaa nao walijibana PAPUCHI Kwa miez 6 kesho ilitakiwa ndo waanze kula mbususu...daa ๐....Tunakufa kilasiku Taikon but asante sana Kwa elimu๐
Ukifariki na mwili ulionona hata mchwa wanakuombea thawabu zikutangulie huko uendapo.
Vunja mifupa kingali meno bado ipo.
uzi bora kabisa kwa mwaka 2022.
Unafanya yote hayo, unapata pisi kali unagonga unaambukizwa ukimwi unakufa.
Ni ukweli na umetoa ushauri bora sana kwa atakaye zingatia hayo kwasababu yapo na tumejionea na nimegundua gambe iliyopita kiasi ni sababu kubwa sana kwa wengi hasa ambao mazoezi kwao si moja ya utaratibu wao.
Watu wale majiiiii kufa kwaja tusife na kiuuu bora kufa na ngenye watakula sisimizi.View attachment 2319186
Haya yote kwanza kabisa maisha yawe settled halafu mpaka maisha kuwa settle ni kuanzia 40+ halafu hiyo 40+ ambayo maisha yanaanza kuwa settled ndo hayo malazi yanaanza kukuandama.. katika maisha kikubwa uhai tuKwema Wakuu!
Hatufuatiliani wala hatupangiani maisha. Ila tunakumbushana huku nami nikijikumbusha pia Kwa Nia nzuri tuu. Ili baadaye tusijekujikuta katika Huzuni kuu.
Mbona umemalizia kirahisi saanaLakini wote tutazikwa chini
Angalizo jingine kwa wanaume:
Mwanamke mwenye umri kuanzia 45 hadi 55 au 60 wenye afya na nguvu wanakuwa na ashiki kubwa sana ya kuingiliwa kimwili.
Sasa ambao wameoa na wake zao hawana stress kwenye umri huo watatoa ushahidi.
Ambao mko njiani kuelekea umri huo, get ready.
Na mwanamke akikoswa kukazwa vizuri, (labda awe mcha Mungu sana).
Atatafuta tuu wa kumkaza, Watch Out...๐.
Dip yako nimeielewa. Discord for life. WGMIMkuu tumekuelewa Asante Sana ila wengi wetu ni unga unga mwana, tunapopaweza tutajitahidi ujumbe umefika [emoji120][emoji120][emoji120]
Huu Ni Uzi Bora kabisa wa mwaka wenye kuelewa wameelewa kiongozi,anayepuuzia asubiri siku limkute
Mkuu tumekuelewa Asante Sana ila wengi wetu ni unga unga mwana, tunapopaweza tutajitahidi ujumbe umefika [emoji120][emoji120][emoji120]
Haya yote kwanza kabisa maisha yawe settled alafu mpaka maisha kuwa settle ni kuanzia 40+ alafu iyo 40+ ambayo maisha yanaanza kuwa settled ndo hayo malazi yanaanza kukuandama.. katika maisha kikubwa uhai tu