Kijana jitunze, kuteremkia miaka 40+ kuna zimwi linaitwa Kisukari na Presha. Mkeo atakuvumilia?

Ya muhimu sana hii ukizingatia mcongo ishakuwa magendo lazima ipande bei kama ngada
 
Mwanaume
*Hisia zipo karibu
*Lazima utongoze/utafute ili ugonge
*Huwezi weka hadi isimame
*Kama haisimami hata kujichua hutaweza

Tofauti na mwanamke tango la sh. 100 tu anamaliza hamu zake bila kuhitaji nguvu. Alaf mwanamke anatafutwa, anatongozwa, anashawishiwa, anafuatwa.... Stress zitoke wapi sasa
 
Nakubali sana taikon
 
100%, ndio utakuta mtu anakula kizembe zembe halafu mara paahh mashine haisimami anaanza kulalamika mara kalogwa mara sijui nini
 
Shukrani sana kwa elimu comred,usichoke kutupa elimu, jamiiforum inasomwa na watu wengi sana hata hambao Sio members, hivyo naomba nikushukuru kwa niaba Yao,
 

😂😂😂
 

Kuna kuwa na hisia alafu Ngoma haiwezi. Hapa ndipo somo lilipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…