Kijana kabla hujamtumia malaya hela fanya maamuzi ya kumtumia Baba/mama kwanza

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
12,463
Reaction score
27,556
Nikweli heli hela yako hainihusu kabisa wala sina mamlaka ya kukupangia namna ya kuitumia upendavo wewe
hapa tuna teta na kuelekezana tu.

MALAYA HANA SHUKRANI. ukweli ndo huo mwanamke malaya hana shukurani yoyote ile ni rahisi sana kukwambia mbona hujatuma na ya kutolea ?

Hicho kidogo ambacho wewe unaona hakifai kuwatumia wazazi na badala yake unaituma kwa malaya hakika hela hiyo hiyo kwa wazazi ni kubwa mno!

Wazazi wetu ukimtumia 10k majirani watajua maana utaongelewa na maneno mema ile hela itanenewa sana mambo mema kutoka kwenye kinywa cha baba na mama yako.Fikiria huko kwenu kijijini walikuwa na ratiba ya kula majani ya maboga yasiyo na mafuta nyanya wala vitunguu then ghafla tu unamwambia mama nimekutumia hela kidogo hapo mkanunue japo kg2 za nyama mle wazaziwangu!!

Piga picha furaha atakayo kuwanayo mzazi wako kwanza familia yote itajua kuwa wewe ndo umepindua meza kibabe sana na kuwapa tabasamu la kula nyama pasipo kutegemea! Watoto wataimba na kuwaambia kwa jirani sisi leo tunakula nyama kwa watoto ndo furaha yao.

Sikia jamaa hakuna hela ndogo kwa mzazi kama huamini chukua buku tatu uliyo nayo mpesa sasa hivi muunge dakika mzazi wako usiku huu kisha mwambia nimekuunga dk za wiki nzima achana na buku3 muunge za buku1 tu kisha mjurishe uone furaha atakayo kuwa nayo.

At the same time muunge malaya wako salio hilohilo hapa kuna mawili anaweza kusema NIMEONA,AHSANTE AU MIMI HUWA NAUNGA BANDO LA WIKI WEWE UMEUNGA LA 24HRS? Nakatika dk au mb ulizo muunga huyu malaya anaweza asikutafute otherwise umchatishe wewe tena!!

KISA CHA KWELI.Ni miaka kama saba imepita nilikuwa nikifanya kazi ya uwakala basi siku moja akaja mama wa makamo alipofika nikamkaribisha nikamsalimia then akaniambia mwanangu kuna kahela humu nimetumiwa na kijana wangu kaangalie (mama alikuwa muha) Basi nikaingia kwenye sms sikuona ujumbe wowote nikamwambia mama sioni msg humu.

Basi akampigia kijana wake na kumwambia Nipo hapa kwa wakala baba lakini wakala kasema hakuna msg ya hela mwanangu ....ndo maneno aliyoyaongea yule mama. Jamaa akamwambia mpe simu wakala kweli nikapewa akanimbia nilituma tangu jana usiku 35k na jina lilikuja angalia salio basi itakuwemo tu.

Bila hata kuangalia msg kwa vile kiasi amekitaja basi nikaanza kutoa ile pesa kwa njia LIPA na kipindi hicho hela ilikuwa inatoka kama ilivyo haikatwi kabsa ukitoa kwa njia ya lipa ni wakala tu ndo alikuwa anakata mtakayo elewana.

Hela kweli ikatoka yule mama kipindi na mpa alianza kusema maneno kwa kiha ila yalikuwa ya mibaraka kwa kijana wake then tukapiga tena kwa kijana wake bahati mbaya dk zikaisha akapiga kwa simu yangu.

Yule kijana ijapokuwa alikuwa naongea kiha na mama yake ilionyesha ndo ana mwezi kaenda Dar kufuta maisha mama yule alimshukuru sana kijana wake. Siyo yeye pekee yake ni mara nyingi sana walikuwa wanakuja wamama na wababa wote walikuwa wanawasemea vizuri vijana wale.

MUNGU ATAKUBARIKI
 
UMENENA VYEMA vijana tunahitaji elimu kama hizi kukabili shinikizo la ulaji holela wa nyuchi, na matumizi mabaya ya kifedha.

Pesa yako tumia mzazi, kama una nyeg3 sana nyetuka kuliko kumpa malaya, changudoa, aka kahaba.
 
Ujumbe, makini mkuu.....Then na kwa wanawake hata kama sio malaya ukipewa pesa na mwanaume haijarishi ni kubwa au ndogo kuwa na shukrani ya dhati...kumbuka anawatu wa mhimu kukuzidi lkn amekupatia ww ambae si ndugu yake....
Wanaume wenzangu....wema huanzia nyumbani.
 
Umenena vyema kabisa, lkn tuweke sawa kwa wanaume wasiendekeze Malaya wa kike, na kwa Wanawake wasiendekeze viben ten na kuwasahau wazi wao
 
U

Ukifatilia kwa makini pia hao malaya wanajali sana familia zao kuliko yani..hizi pesa tunawapa wao pia wanawatumia watu wao muhimu na wanapata shukra kama hizi..dunia ya ajabu sana, sababu nishashuhudia wanafanya hivyo ili na wao wakahudumie wapendwa wao.
Shida ni hiyo tabia yao ya kuona wanaume wote wajinga.NILIPIGA CHINI BAADA YAKUONA MWANANGU SIJAMFANYIA SHEREHE YA SIKU YAKE YA KUZALIWA HAFU NIKAKUTA YEYE ANAFANYA KWA PESA ZANGU NA KWA DHARAU KWAMBA KWANI NILIKUOMBA!!😅
 
Malaya unamtumia na Kesho akipata mingine wakumtumia anakusahau hapohapo na kukuona huna maana yeyote.
Malaya hata akitoboa kimaisha huwezi kusikia hata anakukumbuka zaidi ya kukuona mpumbavu mmoja.

ndani ya viunga vya Tehrani.
Kwani ww unamtumia ili akukumbuke milele? Jina lenyewe ni malaya sasa unataka awe nawe tu kutakuwa na tqfsiri gani ya kuitwa malaya.
Acha watu wawatumie Malaya kukidhi takwa la kibaiolojia msituongezee wabakaji mtaani.
 
Wazazi kama wanajimudu ?
Malaya wataendelea tu kula hela..

Assume una nyege za miezi miwili, Malaya anataka 50 akupe mzigo.. Sema Haina formula
 
Uko sahihi
Malaya hatosheki kabisa.

Nakupa ujumbe hapa mkuu uufanyie kazi haiajrishi una kipato cha kiasi gani ila JIWEKEE RATIBA YA KUTUMA HELA KWA WAZAZI WAKO BILA KUSUBIRI WAKUOMBE WEWE HATA KAMA NI 5000 TUMA TU.

Usisubiri hadi wanashida au umepata nyingi ndo utume kumbuka hela ya kwenye shida hata ikiwa nyingi kiasi gani bado hishia kwenye shida tu. Ni ngumu sana walikuwa na shida wakanunua nguo kupitia hela hiyo hiyo.

Ebu tuma hiyo pesa ndogo pasipo na shida yoyote utakuta hata wamenunua mbuzi na yule mbuzi ataishi kwa jina lako siku zote hata akiugua utaambiwa yule mbuzi wako anaumwa bana!!
 
Wazazi kama wanajimudu ?
Malaya wataendelea tu kula hela..

Assume una nyege za miezi miwili, Malaya anataka 50 akupe mzigo.. Sema Haina formula
Nina uhakika hata GSM akipewa zawadi ya 10k atapokea!!

Sisi makanisani tunaambiwa vyote viijavyo dunia ni mali ya Mungu. Lakini bado Mungu anahitaji zaka na sabihu hii ni shukrani ...hata wewe hapo unaweza kununua vitumbua kisha ukawagawia watoto wako na kisha ukajifanya kuwaomba tena kuona reaction yao atakaye kupa utamfurahia mno.

KUHUSU GENYE.Huja nielewa nimesema kabla ya kumtumia huyo mala jiulize kwanza maana yake anza kwanza kwa wazazi halafu ukiweka sawa kwa wazazi wako hata genye zako zinaweza kukuendesha.

Utakuwaje na genye wazazi wanalala giza huko hata sola panel hujanunua genye itatoka wapi wazazialmanusura walale njaa?
 
UMENENA VYEMA vijana tunahitaji elimu kama hizi kukabili shinikizo la ulaji holela wa nyuchi, na matumizi mabaya ya kifedha.

Pesa yako tumia mzazi, kama una nyeg3 sana nyetuka kuliko kumpa malaya, changudoa, aka kahaba.
Nakubaliana nawewe.Nyege zisitunye tukoswe akili na utu
 
Ujumbe, makini mkuu.....Then na kwa wanawake hata kama sio malaya ukipewa pesa na mwanaume haijarishi ni kubwa au ndogo kuwa na shukrani ya dhati...kumbuka anawatu wa mhimu kukuzidi lkn amekupatia ww ambae si ndugu yake....
Wanaume wenzangu....wema huanzia nyumbani.
Sahihi. mimi huwa hainingii akilini kwa mwanaume kumjengea nyumba malaya ili haliwazazi wake wanaishi nyumba za ovyo
 
Back
Top Bottom