Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
- Thread starter
- #21
N funzo kubwa sana hili. Mimi niliwahi mtumia hela nikijua home kutakuwa na balance nafika naombwa hela daaah kichwa kilichemka sana. Halafu baada kama masaa4 namuona kaweka status wanakula na kuogelea swiming pool daah acha kabisa nilivyo umiaU
Ukifatilia kwa makini pia hao malaya wanajali sana familia zao kuliko yani..hizi pesa tunawapa wao pia wanawatumia watu wao muhimu na wanapata shukra kama hizi..dunia ya ajabu sana, sababu nishashuhudia wanafanya hivyo ili na wao wakahudumie wapendwa wao.
Shida ni hiyo tabia yao ya kuona wanaume wote wajinga.NILIPIGA CHINI BAADA YAKUONA MWANANGU SIJAMFANYIA SHEREHE YA SIKU YAKE YA KUZALIWA HAFU NIKAKUTA YEYE ANAFANYA KWA PESA ZANGU NA KWA DHARAU KWAMBA KWANI NILIKUOMBA!!😅