Kijana kama huna kazi, fanya hivi utapata haraka

APPROXIMATELY

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2021
Posts
2,035
Reaction score
2,715
Simama pale posta,kariakoo na maeneo yenye foleni kubwa ya magari na bango lako nakuhakikishia hii style itakupa kazi fasta kuliko kulala ndani na kusubiri ugali wa shikamoo,kuna kipindi ikifika kwenye maisha hakuna kuogopa Chochote zaidi ya kujitoa tu
 
mkuu ayo mambo usifanye pale posta utapigw picha alf utaonekana kichekesho ... utageuzwa meme mitandaoni
 
Ngoja niandae bango langu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ile ya door to door naistopisha kwanza
Ulipanga upite door to door,daah wengine wasingekufungulia mlango wangejua ombaomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…