APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,715
- Thread starter
-
- #21
VodcaItabidi upige mkali (spirit) ili ufyatuke akili maana bongo nyoso
Ni sawa tena utakuwa mtu maarufu sana,utaitwa na redio utahojiwa,hata mtaji utapata pia
Kwa hiyo unataka kusema aendelee kukaa tu nyumbani na kula ugali wa bure?mambo ayo wanafanya watu wa nchi zenye uchumi mkubwa km Qatar ... watu watakuonea huruma lkn sio tz
Alafu unakuta kuna mtu anaishi kwa shemeji yake kazi kuosha magariKwa hiyo unataka kusema aendelee kukaa tu nyumbani na kula ugali wa bure?
Na kufungua getiAlafu unakuta kuna mtu anaishi kwa shemeji yake kazi kuosha magari
🤭Na kufungua geti