Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
SawaKama unajitafuta kijana hakikisha una kadeti rangi ya kijivu au silver, saa ya silver
Kadeti ya kijivu rangi yake haipoi.
Hizi kadeti za elfu 15-25 karibu zote ni za watu wa hali ya chini, hivyo zinachuja na kuchakaa mapema.
Saa za elfu 5-10 zote ni za watu wa chini lakini ukipata saa ya elfu 6, 7 ya silver utapendeza nayo kwa muda mrefu ikiwa na rangi yake kabisa.
Hii itakusaidia kwenye budget ya viwalo na kupendeza unapokwenda ofisi za watu kuomba michongo.
View attachment 3457000
Ahaha π πHuzo kadeti mchuna mjinga sana
Ukiifua ni kuchuja tu
Ukiitunza ni kuchuja
Ukiivaa ni kuchuja.
Orijino ambazo hazichuji ni sh ngapi mkuu? Nataka nipate mbili za kwenda nazo chuoni mwaka huu, ili hata mademu wa chuo wasinione shallowKama unajitafuta kijana hakikisha una kadeti rangi ya kijivu au silver, saa ya silver
Kadeti ya kijivu rangi yake haipoi.
Hizi kadeti za elfu 15-25 karibu zote ni za watu wa hali ya chini, hivyo zinachuja na kuchakaa mapema.
Saa za elfu 5-10 zote ni za watu wa chini lakini ukipata saa ya elfu 6, 7 ya silver utapendeza nayo kwa muda mrefu ikiwa na rangi yake kabisa.
Hii itakusaidia kwenye budget ya viwalo na kupendeza unapokwenda ofisi za watu kuomba michongo.
Katika kundi la vijana 6 wakaamua kununua suruali siku moja za rangi tofauti tofauti kama kwenye picha hapo juu. Baada ya miezi 6 kama uvaaji wao unalingana huyo wa silver ataonekana kavaa suruali mpya na wengine kuonekana wamevaa nguo chakavu.
View attachment 3457000
Tusidanganyane ninapo rangi zote.Ahaha π π
Chukua ya kijivu utanishukuru
Ilaaaaaaa weweeeSuruali za vijana wadogo hizo.Wakivaa vinawabana makalio kama wamejifunga vibwebwe.
πππππSuruali za vijana wadogo hizo.Wakivaa vinawabana makalio kama wamejifunga vibwebwe.
πππππNipo chaka,sasa nikawa nashangaa huku chaka kadeti zinauzwa elfu 18 afu wilayani elfu 28 punguzo elfu 25 au 23
Sasa siku moja nikanunua huku chaka kwa elfu 18,ile siku nafua kesho nakuta ngoma imepauka kama imeshafuliwa mara 4,ingefuliwa na mwanamke huenda ningesema labda aliifua sana lakin niliifua mwenyew tena kitaalam kabisa
Hapo ndo nikajua tofauti ya kadeti ya elfu 18 na elfu 25
Tafuta kadeti za kampuni ya Dickies,hautojutiaOrijino ambazo hazichuji ni sh ngapi mkuu? Nataka nipate mbili za kwenda nazo chuoni mwaka huu, ili hata mademu wa chuo wasinione shallow
Naam muheshimiwa!π«Έπ«·Ilaaaaaaa weweee