Kijana: Kama upo kwenye mahusiano, hakikisha una "marafiki" wengine angalau watatu nje

Ukwel mtupu ukiwa na mwanamke mmoja kuna possibility ya kua unampa muda wako sana huyo mwanamke na nature ya binadamu akishajua anapendwa sana hata kama na yy anakupenda kuna possibilty ya kuja kuumizwa mbeleni..
Exactly mkuu. Hakuna kitu hatari kama kumuonyesha mwanamke kwamba unampenda sana! Mwanzoni atajidai anafurahi sana lakini kumbuka by nature wanawake ni "control freaks" atataka akutawale na kuku-control maana ameshajua unampenda. Akishafanikiwa kukutawala anaanza tena kukuona boya maana pia by nature mwanamke hapendi mwanaume "weak" ambae ana "controlika" kirahisi.
 
sure
 

legendary 👍🏽
 
You think great
 
Sawa
 
Hahahahahahah ndio walivyo wanawake japo sio wote ila kwa population 70% are control freaks! Anataka aku hold mda wake wote muwe pamoja tu ila sasa uki dedicate mda wote kuwa nae anakukinahi na wengine mnafikia kugombana gombana hovyo tu sababu anakuona huna kingine unawaza ni kugandana nae tu 😅
 
Kwa mamlaka niliopewa nakutunuku shahada ya Uzamivu katika “Falsafa za wanawake katika mahusiano ya kimapenzi”
 
Naunga mkojo hoja hii..
Asante.
 
Hii mbinu toka nianze kuitumia baaada ya kumaliza chuo naweza ipa A plus,kwa kuniondolea stress na kuniongezea strategies za kupata mwanamke mwengine yeyote yule duniani,popote pale kwenye hewa ya oxygen .........
Mwanamke anapenda mwanaume asiyemuelewa,mwanaume flani hivi anaweza kaaa hata miezi hajamtafuta.
Kikubwa tu uwe na akili,mtanashati na vijisenti vya hapa na pale.
Uwe mtu fulani hivi,unaweka appointment na demu mwenye nyege kisha hutokei,siku demu hata hujamtongoza akija gheto kwako unamgonga,akikataa unampotezea,yaani mtu fulani hivi hauna formula na maisha ya mapenzi ,ndio mwanamke anampenda.
Akikwambia umtumie hela haumtumii,siku akija hana hili wala like unampa hela,daily unatongoza wanawake wengine classic,yaani hueleweki mipango yako ya mapenzi,utawagonga Hadi uchoke na watakua wanakuganda maisha yako yote.
Yaani hata demu ugombane nae akiwa na shida za kibinadamu,unakua gentleman unamsaidia,kisha unapotea kama jini,.......ukiwa na nyege unamcheki,......yaani hueleweki malengo yako nini ya mapenzi hapa duniani.......Hivo vitu ndio wanawake wanapenda kwenye hii dunia......wanawake hawapendi hela ndio mana mabilionea wanawake ni kuwatatafuta na tochi na wengi wamerithi hizo pesa kwa wanaume wao au wazazi wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…