Kijana, Kulelewa na mwanamke uwe mvumilivu

Ndio maana vijana wa siku hizi wanababuka midomo maana wanavyodekishwa bahari yenye chumvi kali kuliko ya india kutwa mara saba yote kupenda vya bure mxiuuuuuu

Mwanamume yeyote anayelelewa na mwanamke ilhali yu mzima wa afya ukimchunguza kwa makini lazima atakuwa na viashiria vya kishoga kwa kuwa hayo si miongoni mwa matendo ya mwanamume rijali anaye elewa nini maana yeye kuwa mwanamume.......
YANI ANAMAMBIA MUNGU ULIKOSEA MM NILITAKIWA KUWA KE.
 
Imebidi ni_like na ku_comment! We binti wewe! Hahaaa
Ndio maana vijana wa siku hizi wanababuka midomo maana wanavyodekishwa bahari yenye chumvi kali kuliko ya india kutwa mara saba yote kupenda vya bure mxiuuuuuu
 
Ndio maana vijana wa siku hizi wanababuka midomo maana wanavyodekishwa bahari yenye chumvi kali kuliko ya india kutwa mara saba yote kupenda vya bure mxiuuuuuu
Hahaaaa, daah
 
Ajira zimekuwa ngumu vijana wamejiongeza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndio maana vijana wa siku hizi wanababuka midomo maana wanavyodekishwa bahari yenye chumvi kali kuliko ya india kutwa mara saba yote kupenda vya bure mxiuuuuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzi umefufuka, vibenten wameongezeka sana mtaani? Best wafanye bidii ili kibarua kisiote nyasi, nishashuhudia marioo mmoja mke kamwambia kazi yake ni hiyo tu kumrizisha tu, afanyi kazi yeyote, yeye ndiye anafanya kazi Baba ni bia tu na kumkuna mama.
 
ujinga mkubwa sana, kuna wanawake wanaendekeza ujinga huku mjini..kijiijini hawapo

te teh
 
Aisee!

Wanaume wanazidi kupukutika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…