Kijana, Kulelewa na mwanamke uwe mvumilivu

Kijana, Kulelewa na mwanamke uwe mvumilivu

Ni shidaaa
 
Attachments

  • IMG-20200710-WA0003.jpg
    IMG-20200710-WA0003.jpg
    59.8 KB · Views: 6
Kulelewa raha wewe , tena umpate mama wa miaka Kama 55, 60 hivi nakuambia hutojuta yani kila utachotaka jibu ni Ye's tu na siku ukimkoleza zaid utaskia " Darling unatak zawad gan leo, hapo kidume ndo navimba bichwa sasa , n kutaja tu Haria new model ,, na kwa kuwa mkwanja upo utacheki kitu ichooooooo!!!! Hayo maisha nmeyaishi sana
Nipe connection mkuu,life tight
 
Vijana wa mujini, wenyewe wanaita msingi kiuno, yaani unapata mwanamke mtu mzima kakuzimikia anaamua kukuchukua mkaishi wote kwake huku anagharamia bill zote ikiwemo kodi, umeme, maji, gharama za simu,nauli/mafuta & service ya gari n.k.

Lakini kwa namna wake zetu (nimeoa) walivyo na maneno ewe kijana nakushauri kama una roho nyepesi bora utafute pesa yako mwenyewe ili mtu asiwe anakusimanga (Kikinuka). Maana siku mmetibuana Bi. Mkubwa atatema "cheche" utukaniwe mpaka bibi yako (marehemu) aliyekufa kabla ya wewe kuzaliwa.

Yote haya ni ndani ya sekunde 60 tu. vijana tufanye kazi, tutafute vya kwetu.
UPDATE:
Hapo Zamani mambo haya hayakuwepo

cc. W-Si-Biii

Mkuu unachekesha sana, yaani kijana wa Dar aache kukaa kijiweni na kuongelea story za ubaharia eti akatafute kazi, achekwe? Mtu anaona bora ashikishwe ukuta ili apate hela kuliko kufanya kazi, vijana wengi wa Dar wanatafuta unafuu wa maisha tu, majuto baadaye.
 
Kulelewa Ni utumwa
 
Sio Dar tu yani mambo ni hayohayo hata mikoani.
 
Back
Top Bottom