ndo ujue mapenzi ya hela hayadumu...ona sasa kashaachwapesa ndo kila kitu mtumishi. ona hamonaiz anavyojikakamua kumtuliza muitaliano
Uvumilivu mpaka kifoWell said
Ha ha haPole sana kwa yaliyo kukuta jifunze kutafuta vya kwako.
Usicheke MtumishiHa ha ha
OkayHa ha ha kijana usiwe na Kinyaa kutembelea Uvinza
MmhKulelewa inapaswa uwe na pumzi na usiwe mtu wa aibu maana hata ukitukanwa mbele ya kadamnasi unajichekesha tu
Pesa chachandu ya mapenziPesa muhimu