Kijana, Kulelewa na mwanamke uwe mvumilivu

Kijana, Kulelewa na mwanamke uwe mvumilivu

Kulelewa raha wewe , tena umpate mama wa miaka Kama 55, 60 hivi nakuambia hutojuta yani kila utachotaka jibu ni Ye's tu na siku ukimkoleza zaid utaskia " Darling unatak zawad gan leo, hapo kidume ndo navimba bichwa sasa , n kutaja tu Haria new model ,, na kwa kuwa mkwanja upo utacheki kitu ichooooooo!!!! Hayo maisha nmeyaishi sana

mh kwahiyo ushahongwaga gari na likawa la kwako lotelote dalloboy
 
1 of me favorite picha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kila nkomwangalia ant Ezekiel alvombeba mwanae [emoji56][emoji1][emoji23][emoji23]

try me
 
sisi waislam nyny wakristo kila mtu afate yake bila kumshangaa mwngine unakua na mke mmoja afu unaongoza kwa michepuko bora muwe munaoa tu wake wengi

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
Kwan hata kama mkioa wengi mchepuko mnaacha? Tuachen bhana hiz maneno tuombe tu Mungu[emoji87] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Vijana wa mujini, wenyewe wanaita msingi kiuno, yaani unapata mwanamke mtu mzima kakuzimikia anaamua kukuchukua mkaishi wote kwake huku anagharamia bill zote ikiwemo kodi, umeme, maji, gharama za simu,nauli/mafuta & service ya gari n.k.

Lakini kwa namna wake zetu (nimeoa) walivyo na maneno ewe kijana nakushauri kama una roho nyepesi bora utafute pesa yako mwenyewe ili mtu asiwe anakusimanga (Kikinuka). Maana siku mmetibuana Bi. Mkubwa atatema "cheche" utukaniwe mpaka bibi yako (marehemu) aliyekufa kabla ya wewe kuzaliwa.

Yote haya ni ndani ya sekunde 60 tu. vijana tufanye kazi, tutafute vya kwetu.

Jesus is my saviour and a friend
 
Uwiiii magazet nomaaaaa

Jesus is my saviour and a friend
 
Mpaka unafikia hatua ya kuishi na mwenza, kama mke na mume kunataka akili kupevuka na uwe (mwanaume) na chanzo cha pesa cha uhakika sustainable. Kutegemea pesa ya mwanamke ni kutafuta maneno (matusi) wakati wa mgogoro.
NB: Kinamama, mtusetiri pale tunapokuwa tumefulia badala ya kutuaibisha mbele ya umati.
Umetia hadi huruma. Tumesikia

Jesus is my saviour and a friend
 
Afadhali udhani maana mzee hutoa mimaji maji kama K, Mzee hutoka damu (MP) kama K etc. Huwezi kufananisha MIC na K hata iweje. Inataka moyo kuilamba K ila MIC mashaallah ni suna
Aibu gani sasa? Nauliza tu [emoji85] [emoji85] [emoji85] unavyoona mic mashalah wenzio wanaona K mashalah

Acha kuharibu starehe za wenzio

Jesus is my saviour and a friend
 
Kweli kabisa hata kuwa na mpenzi aliekuzidi kipato ni kazi sana aisee labda awe anajitambua sana na we uwe fighter ila nje ya hapo tabu tupu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom