Radical-1
New Member
- May 31, 2023
- 2
- 4
Huyu kijana wa Namibia kwa jina la SIMON PETEUS amegundua simu isiyohitaji mfumo wa SIM (yaani kibongobogo laini za simu)
Je unadhani hili lina madhara gani kwa watu wa kawaida na kwa wamiliki wa mitandao ya simu kama Vodacom, Airtel na zingine ikiwa simu hii itaingia sokoni?
Simu haihitaji vifushi vya dakika unapiga tu.
Simu haisumbui mtandao, hata uwe wapi ndani ndani huko unapatikana tu.
Hivi unadhani bei ya simu kama hii itakuwaje?