Mbona stori unaleta za zamani sana na zilishaongelewa humu Jf tangia 2018?View attachment 3306763
Huyu kijana wa Namibia kwa jina la SIMON PETEUS amegundua simu isiyohitaji mfumo wa SIM (yaani kibongobogo laini za simu)
Je unadhani hili lina madhara gani kwa watu wa kawaida na kwa wamiliki wa mitandao ya simu kama Vodacom, Airtel na zingine ikiwa simu hii itaingia sokoni?
Simu haihitaji vifushi vya dakika unapiga tu.
Simu haisumbui mtandao, hata uwe wapi ndani ndani huko unapatikana tu.
Hivi unadhani bei ya simu kama hii itakuwaje?
Mkuu taratibu usimkumbushe machungu alikua jela huyo mwenzako katoka ijumaa iliyopita kila kitu hajui hapa tumekaa tunasubiri kumpa taarifa mbali mbaliMbona stori unaleta za zamani sana na zilishaongelewa humu Jf tangia 2018?
Soma andiko lake, naamini lipo onlineNikitaka kumpigia mamangu natofautishaje na demu wangu
Hizo huwa ni hype tu za waafrika kutaka kujitutumua ni sawa na lile gari la mzimbabwe lisilotumia mafuta wala gesiAngalia habari hiyo iko hapo chini,tangu 2018 , mbona simu yenyewe hatujaiona mtaani??,uenda zilikuwa ni hadithi tu,ili kufurahishana.
Kwa wale wakongwe kabisa watakumbuka kampuni ya simu mobitel (yas ya sasa) miaka ya 1999 -2000 na masimu yao makubwa yale mamotorola na manokia antena yalikuwa hayatumii line.View attachment 3306763