Kijana mama yako mzazi unamwita majina ya hovyo mara bimdashi, bimkubwa, lakini mama asiye wako unamwita mama, tena kwa heshima

Kijana mama yako mzazi unamwita majina ya hovyo mara bimdashi, bimkubwa, lakini mama asiye wako unamwita mama, tena kwa heshima

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Hii nchi ina vijana wa hovyo, na wazee wa hovyo pia wapo.

Mama yake mzazi anamwita bimkubwa, bimdashi, mazeri lakini mama wa wengine ndiye anamwita MAMA, anajua mpaka tarehe ya kuzaliwa ya mama wa mwingine ila mama yake mzazi hajui lini kazaliwa.
Hata kama njaa kali this is too much.
 
Inafikirisha sana kaka.
f49d226f1df1c6f2255414d537ce4f75.jpg
 
Kweli kabisa watu wanamwita mama mama wa taifa ila mama yao kijijini wanamuita bimkubwa
 
Hii nchi ina vijana wa hovyo, na wazee wa hovyo pia wapo.

Mama yake mzazi anamwita bimkubwa, bimdashi, mazeri lakini mama wa wengine ndiye anamwita MAMA, anajua mpaka tarehe ya kuzaliwa ya mama wa mwingine ila mama yake mzazi hajui lini kazaliwa.
Hata kama njaa kali this is too much.
Hovyo kabisa tena wanathubutu kusimama mbele za watu mara utasikia tunamshukuru mama kwa kutuletea mvua kwa ajili ya mashamba yetu. Wajinga sana wale nikiona hivyo nazima TV naenda kulala
 
Kuna siku nilikuwa naongea na mama kwenye simu sasa nishazoea nikiwa naweka msisitizo kitu natumiaga sana neno My freind nika muita ivyo my friend jibu alilo nipa heshima now inashuka ee nishakuwa rafiki yako

Niny mnao waita ivyo wazazi wenu ni kwamba wanapendwa na majina hayo bimdashi
 
Hii nchi ina vijana wa hovyo, na wazee wa hovyo pia wapo.

Mama yake mzazi anamwita bimkubwa, bimdashi, mazeri lakini mama wa wengine ndiye anamwita MAMA, anajua mpaka tarehe ya kuzaliwa ya mama wa mwingine ila mama yake mzazi hajui lini kazaliwa.
Hata kama njaa kali this is too much.
Naunga Mkono Oja Yako
 
Sijaona tatizo hapo,watu walozoena na kupendana kweli ndio huongezeana majina,ila watu wapya kwenye maisha yetu twawaita Kwa majina yao,hiyo ipo hata kwenye urafiki tu,mkiwa marafiki wa kweli wa muda mrefu hata Kwa matusi mtaitana,ila mtu asiye rafiki na aliye mgeni,ni lazima utamuita Kwa jina lake na hiyo bado haithibitishi kuwa wamuheshimu.
 
Back
Top Bottom