Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hovyo kabisa tena wanathubutu kusimama mbele za watu mara utasikia tunamshukuru mama kwa kutuletea mvua kwa ajili ya mashamba yetu. Wajinga sana wale nikiona hivyo nazima TV naenda kulalaHii nchi ina vijana wa hovyo, na wazee wa hovyo pia wapo.
Mama yake mzazi anamwita bimkubwa, bimdashi, mazeri lakini mama wa wengine ndiye anamwita MAMA, anajua mpaka tarehe ya kuzaliwa ya mama wa mwingine ila mama yake mzazi hajui lini kazaliwa.
Hata kama njaa kali this is too much.
Mwanangu wa kike uniita hivyo basi najifeel myaudi balaa🥴Wamwite maaa! Kama watu wa upande ule wa upinde wa mvua.
Njaa za kichwani plus za tumboniAfu mwenyewe alishawakataza mambo ya kumuita mama😆😆😆 mbona alipokuwepo mwanaume mlikuwa hamumuiti baba?
Naunga Mkono Oja YakoHii nchi ina vijana wa hovyo, na wazee wa hovyo pia wapo.