Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
Kijana Masikini unahangaika sana 😂😂Oyaa sikia.. wapi mwanangu dosho12 salimia sana mwanangu Harmful oya we Harmful salimia sana mwanangu Noma, Noma.. Nomadix
Awee shem langu Ms R salimia sana mtotomzuriwa kuitwa waifu material mwambie hii hapa sauti Ya Kijana Masikini a.k.a Mui........mba SINGELI.
Wanaume tumeumbwa mateso.. mateso.. kuhangaika....Kijana Masikini unahangaika sana 😂😂
Haya kila la kheri, sisi tuko nyuma yako ukiachia ngoma tujulishe tuka subscribeWanaume tumeumbwa mateso.. mateso.. kuhangaika....
Natafuta pa kutobolea mamtu.
Lazima utoboe.Wewe hata ukitingisha mabega tu bila kutamka neno lolote,wanao wote lazima watimbe kwenye shoo zako.Oyaa sikia.. wapi mwanangu dosho12 salimia sana mwanangu Harmful oya we Harmful salimia sana mwanangu Noma, Noma.. Nomadix
Awee shem langu Ms R salimia sana mtotomzuriwa kuitwa waifu material mwambie hii hapa sauti Ya Kijana Masikini a.k.a Mui........mba SINGELI.
Thanks Mami loo sema nini nitupie buku mbili hapo nidake boda chap niingie studio.Haya kila la kheri, sisi tuko nyuma yako ukiachia ngoma tujulishe tuka subscribe
Marry ni nani?Kama jina la Mary halimo huo wimbo ni batili🤗🤗🤗
Asante sana kiongozi.Lazima utoboe.Wewe hata ukitingisha mabega tu bila kutamka neno lolote,wanao wote lazima watimbe kwenye shoo zako.
Amefupisha.Ni Maria Roza.Marry ni nani?
MariaMarry ni nani?
Simfahamu, ila shibela kwa nini uliniacha njia panda kipindi kile?Maria
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣dahAmefupisha.Ni Maria Roza.
You've to be one step ahead!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣dah
Subiri kuna mchongo nausikiliziaThanks Mami loo sema nini nitupie buku mbili hapo nidake boda chap niingie studio.
Watu wote wamevaa.Nani anunue!?Uvivu Tu wa kutembeza mitumba
Subhana,Mimi tena!!!Simfahamu, ila shibela kwa nini uliniacha njia panda kipindi kile?