Kijana Masikini nimeamua kuimba SINGELI sasa pengine nitatoboa

Mkuu unatumia Nyukilya kuua mbu.
 
Dondosha ngoma kaka, mimi na Harmful tupo pamoja na wewe ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Kwa mwenye akili zinazofanya kazi atalazimika kuishi kulingana na wakati,iwapo unajilinganisha na waliobebwa na kile chama kiaminicho ni wa miliki na wanayo hati miliki ya taifa ujue unaenda kukufa na kupotea na kamwe hutaweza kupata boost ya mhimili kama ile ya nyegezi mwanza! Tena na kamwe haita tokea wadanganyika wapo macho tena sana,na bado sana kulala,kwani wameshachezewa sana.
 
Hii bangi ni all the way from hell ๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ