Kijana Masikini nimeamua kuimba SINGELI sasa pengine nitatoboa

Unapoteza muda singeli sio muziki huo hata kidogo ni kutamka maneno tuu yasiyo na vina wala mizani hata sifa ya mashairi haina. hauna sifa ya kuitwa wimbo kwa sababu sio melodic na kimataifi hauwezi kukidhi viwango, utaona unasifika maeneo ya dar kwa sababu hiyo ni ile ile ngoza za kienyeji za kizaramo zilizokuwa zinapita miataani wamebadili tuu jina hivo watu waswahili wa pwani wanapenda tuu hayo maneno ya vijembe na siu ozuri wa muziki. Mtu asiye mswahili ataona ni kelele tuu
 
Sawa mkuu lakini nimechagua kuwa upande huu.
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ