Kijana Masikini nimeamua kuimba SINGELI sasa pengine nitatoboa

Mkuu kumradhi kidogo HIVI HUYU wife material, una document zake. maana natafuta pisi ya kuniriwaza mkuu, Na huyu ana FANYA mapigo ya kasi yanaenda moyo.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🙏



Kwishaaaa
Kaka inamaana hujuwi kama ni kiongozi wangu huyu!
au umeamua kunitusi?
 
Duh! Pole mkuu jitahidi usijulikane tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…