Kijana Masikini nimetoboa, kwa sasa ni Tajiri sinabaya

Sasa badilisha mazungumzo na uandishi wako uendane na hadhi ya mtu tajiri na mwenye hadhi. Usiwe tajiri wa pesa tu na akili na tabia pia viondoke kwenye eneo la umasikini.
 
Sasa badilisha mazungumzo na uandishi wako uendane na hadhi ya mtu tajiri na mwenye hadhi. Usiwe tajiri wa pesa tu na akili na tabia pia viondoke kwenye eneo la umasikini.
Nani kakwambia Tajiri anakuwa na baya?
Tajiri hawi na mwandiko mbaya, hawi na kauli mbaya, hawi na maanuzi mabaya hawi na ......... kwa lugha rahisi tu chochote anachokifanya Tajiri ni sawa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…