Apollo tyres
Senior Member
- Nov 16, 2024
- 134
- 363
Habari wakuu.
Mimi ni Kijana wa miaka 25.
Napatikana DSM
Elimu yangu shahada ya Ualimu.
Natafuta ajira /Kazi
Uzoefu wangu
Nimefanya Kazi ya Microfinance ,hivyo nipo na huo uzoefu wa microfinance.
Kufanya Kazi Kama loan officer kufatilia madeni n.k
Pia nimefanya Kazi za sales hivyo nipo na uzoefu katika Kazi hizo .
Endapo pia kuna fursa tofauti na hizo msisite kunijulisha kwakuwa everything is learnable .
Mawasiliano :- +255780967315
Thank you