Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini ndoto yakonikipata nafasi ya kufanya kazi ya mtu nafanya, lakini sometimes unaona bado una ona gap la kuweza kufanya kazi zaidi kwa mtu/watu wengine. kuna mda una-nakuwa free kulingana kazi za technical zangu sio za 24 hours au majukumu ya kila siku yapo, ila kama mtu tayari ana foundation/msingi ya kazi yake anafanya kuongeza nguvu kazi zaidi ku-push load kubwa na kujipanua, tunaweza saidiana zaidi.
lengo lingine:
1. kujifunza zaidi kwa sababu technology is not static
2. kuongeza networking ya kazi na majukumu mengine