Kijana mkoani Kilimanjaro auawa kwa panga kwa madai ya kutaka kushiriki tendo la ndoa na mke wa mtu

Kwamba uko tayari kushuhudia mke wako akitombwa kwenye kitanda chako. Anageuzwa chuma mboga, popo kanyea mbingu, itege inase!!!
Siyo mke WAKO tena kama masela wanakula mzigo. Kuna kitu kinaitwa DIVORCE kipo kwa ajili ya kesi kama hizo. Mwanamke ni binadamu mwenye akili timamu na siyo mali yako ukishaanza kuwa na mindset hiyo huwezi kuingia kwenye maugomvi kisa mke au mchumba.
 
A
Wanawake wenu waliutangazia ulimwengu kuwa kazi hamuwezi, hivyo inabidi wapate huduma kutoka nchi jirani.
Aah!kumbe ww sio ke mkuu?lkn c unajua ni vibaya mwanaume kusemea vitu vya wanawake tena vya ndani kiasi hicho....jarbu ku act as a gentle na si kila kinachosemwa na mwamamke ni cha kuamin
 
Sema mi nawaambia kijana jifunze teknik za kujilinda...
Sa kijana kashindwa ku Chat panga mpaka anakatwa katwa...

Vijana ukiona una mbato pasipo kwako na wewe hakikisha unajifunza Majudo mianguko

Usikubali mtu mmoja anakukata kata na mapanga

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
A

Aah!kumbe ww sio ke mkuu?lkn c unajua ni vibaya mwanaume kusemea vitu vya wanawake tena vya ndani kiasi hicho....jarbu ku act as a gentle na si kila kinachosemwa na mwamamke ni cha kuamin
Dunia inatambua wanaume wa Rombo hamna kitu. Na awezaye kuthibitisha hilo ni wanawake wa Rombo, na walishathibitisha hivyo wala haihitaji mjadala.
 
mke nae kazomewa na wamama wenzie kajinyonga kaokolewa akaona isiwe kesi akaamua kupiga toti ya muparaxon
 
Hapa kapata faida gani? Yeye na marehemu wako sawa, hawatampata tena huyo bibie.
 
Huyo atanyongwa! Kesi itachukua sio chini ya miaka 10 kutolewa hukumu na kwa kuwa ameua kwa makusudi mazima adhabu iko wazi; kunyongwa hadi kufa. Ndio hivyo tena maisha yake naye ndio hivyo.
mahakimu huwa hawana mchezo na kesi za kuuwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…