Kijana mkoani Kilimanjaro auawa kwa panga kwa madai ya kutaka kushiriki tendo la ndoa na mke wa mtu

Huyu jamaa nilazima alikua ana habari za mda mrefu za jamaa kumlia mkewe tena hapo hapo kwake,hivyo akawa anamuwinda bila jamaa kujua.

Kosa kubwa wanaume wazinzi wanalofanya ni kwenda kufanya uzinzi kwenye himaya ya mwanamke,hapo unakua roho umeiweka rehani.

Wanawake niwatu wakujisahau sana usikubali kabisa kwenda kwake na wala usipende huo mteremko kuna siku tu yatakukuta.

Mke wa mtu ni sumu.

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Heri yako wewe uliyeoa dada zako
 
Hakika! Mungu atusaidie sana
 
Kule radi kwa mwanamke mzinifu huku mapanga kwa mwanaume mzinifu, ukikiuka maamrisho ya "asili" hakuna namna ya wewe kuendelea kubaki kuwa salama

Innaa lillahi wa innaa ilayhi raajiun

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Halafu unakuta hiyo pisi yenyewe sasa butuu hamna ukali wowote, ila fala anaona sawa kutoa roho ya mwanaume mwenzake kisa hiyo mbunya, unaeza kuta kei yenyewe ni chafuu inanuka ...warombo ulevi unawasumbua
 
Kumshambulia mhalifu alievamia kwako Ni sawa? Wanasheria mtujuze
Inategemea, kwenye criminology kuna kitu kinaitwa self defense, mtu alovamia kwako kama hakuwa na athari inafikia uwezo wa kukutoa roho, na wewe ukamtoa roho kwa njia moja au nyingine, hapo tutapima kiwango kama utataka kutumia self defense kama kigezo cha kukutoa kwa kosa
 
Aisee marehemu alistahili kufa tu hivi unapataje ujasiri wa kwenda kumla mke wa mtu kwenye nyumba anayoishi na mume hiyo ni zarau hata ningekua mimi ningeua tena ningeua wote wawili.
Safiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…