Jitu la-Mtumba
JF-Expert Member
- Mar 20, 2025
- 283
- 760
😁
😁😁😁Mimi 2025 ndio mwaka wa Mwisho kutafuta pesa kihalali.
😁😁😁Mimi 2025 ndio mwaka wa Mwisho kutafuta pesa kihalali.
Hii nyuzi ina arguments ambazo ni sentiment. Mm napenda kutomber mbona nafanya casual man na sijafanikiwa hata kupata mkataba pornhub?Nyuzi hiz hazina wachangiaji
Ila zenye
Mbunye,chup,mjegeje,papuchii
Aah apo sawa
Daudi anasema nalikuwa kijana sasa ni mzee sijawahi ona mwenye haki ameachwa wala watoto wake wakiomba mkate barabarani.Nitaandika kwa kifupi sana hii mada.
Kuna vijana wanajitafuta kutoka kiuchumi ili kukizi mahitaji muhimu kama chakula, malazi(nyumba), na mavazi kwake binafsi, familia, ndugu n k.
Sasa yameongezeka mahitaji muhimu mengine kama gari, simu za gharama n.k
Sasa kijana mpambanaji hakuna kazi, Biashara, mradi n.k kinachoweza kukufanya kumudu maisha au kua tajiri zaidi ya kile unachopenda kufanya.
Kuna watu wanasema Kuna Biashara ile, kazi hii, mradi fulani n.k ukifanya ndio utafanikiwa kimaisha.
Ukweli ni kwamba Kuna asilimia kubwa kufanikiwa kimaisha, kipesa n.k ukifanya kitu unachopenda kwa ufanisi na ubora wa Hali ya juu kuliko watu wengine mnaofanya kitu Cha aina moja.
Mfano kama wewe ni daktari basi kuwa daktari Bora kuliko wengine, vivo hivyo kwa mkulima, mwanamichezo, msanii, mhandisi, mfanyabiashara, betting n.k jifunze kitu unachopenda kila siku kwa adabu, akili, nguvu, nidhamu, ujasiri n.k
Mafanikio yako, yapo mikononi mwako.
Asante
unasongesha au mpawaUmesahau hitaj kubwa la kutibu nyege
Sahv mitaan kuna watoto wazur weng sana na wanahitaj hela ili wakupe mbunye uionje
Hakika, Asante kwa huo ushuhuda wakweli kabisaDaudi anasema nalikuwa kijana sasa ni mzee sijawahi ona mwenye haki ameachwa wala watoto wake wakiomba mkate barabarani.
Nilitaka kusema hivi kila mtu huzaliwa na kitu (kipaji/uwezo) fln ukiutumia uwezo au kipaji iko kufanikiwa ni sawa na kusukuma mlevi tu.Mleta uziamepiga kwenye mshono.
Mfano mimi sina furaha kabisa kwenye ajira ninayo ifanya hii japo malipo ni mazuri lakini kamwe sijawahi kuipenda. Mimi huwa nikiwa shamba napiga kilimo watu huja na kusema wewe huko .....ulienda tu kwa bahati mbaya wewe rudi huku tujifunze kwako!
😂😂😂😂😂Nyuzi hiz hazina wachangiaji
Ila zenye
Mbunye,chup,mjegeje,papuchii
Aah apo sawa
mimi ajira ndio inanipa kula na kuendesha maisha yangu ,lakini huwa sipendi kabisa mambo ya ajira.Nikiona biashara ya nafaka napagawa kabisa,nimegundua kuna kitu Mungu atakuwa amenipangia kwenye nafaka maana sio kwa mahaba hayo.Nimenza na gunia 50 na msimu huu naona kabisa hali sio mbaya Feb nazitoaDaudi anasema nalikuwa kijana sasa ni mzee sijawahi ona mwenye haki ameachwa wala watoto wake wakiomba mkate barabarani.
Nilitaka kusema hivi kila mtu huzaliwa na kitu (kipaji/uwezo) fln ukiutumia uwezo au kipaji iko kufanikiwa ni sawa na kusukuma mlevi tu.Mleta uziamepiga kwenye mshono.
Mfano mimi sina furaha kabisa kwenye ajira ninayo ifanya hii japo malipo ni mazuri lakini kamwe sijawahi kuipenda. Mimi huwa nikiwa shamba napiga kilimo watu huja na kusema wewe huko .....ulienda tu kwa bahati mbaya wewe rudi huku tujifunze kwako!
Mwezi wa1 mimi naachana na haya ma ajira. Nilimshirikisha jamaa akanishangaa akasema unaachaje kazi yako inayokulipa vzr.mimi ajira ndio inanipa kula na kuendesha maisha yangu ,lakini huwa sipendi kabisa mambo ya ajira.Nikiona biashara ya nafaka napagawa kabisa,nimegundua kuna kitu Mungu atakuwa amenipangia kwenye nafaka maana sio kwa mahaba hayo.Nimenza na gunia 50 na msimu huu naona kabisa hali sio mbaya Feb nazitoa