Kijana Msomi asie na ajira kamteka kimapenzi mtoto wa kigogo, Anataka kumpa mimba ili apate ajira / mtaji , Ni njia sahihi ?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Kijana ana degree na masters

Kwa sasa bado yupo kitaa anauza duka la mahitaji ya nyumbani

Kwa miezi kama nane hivi yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na binti mwenye miaka ambae kamaliza moja ya kozi undergraduate, hivi karibuni ndio kajua kwamba binti ni mtoto wa kigogo mzito tu serikalini, kigogo huyo ni mtu wa mikoa kanda ya Pwani, Ni kigogo mwenye power kubwa na connection (hajawahi kuwa Rais)

Sasa huyu muuza duka kaona kwamba asafiri wiki moja huko aliko, ahakikishe huo muda anampa Mimba.

Ni pisi kali kaona awahi mapema kupiga muhuri

Ni uamuzi sawa
 
Jinsi mwana siasa kigogo atakavomfeel kijana
Screenshot_20230827-184818_Quora.jpg
 
Kwamba Mimba sikuhizi zinazaa Pesa ?

Watu wanapigwa chini wana mpaka wajukuu ije kuwa Zygote au hizo cells ambazo mtu anaweza kuziua kwa Morning after Pill ?
 
Kijana ana degree na masters

Kwa sasa bado yupo kitaa anauza duka la mahitaji ya nyumbani

Kwa miezi kama nane hivi yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na binti mwenye miaka ambae kamaliza moja ya kozi undergraduate, hivi karibuni ndio kajua kwamba binti ni mtoto wa kigogo mzito tu serikalini, kigogo huyo ni mtu wa mikoa kanda ya Pwani, Ni kigogo mwenye power kubwa na connection (hajawahi kuwa Rais)

Sasa huyu muuza duka kaona kwamba asafiri wiki moja huko aliko, ahakikishe huo muda anampa Mimba.

Ni pisi kali kaona awahi mapema kupiga muhuri

Ni uamuzi sawa
Nina mashaka, pisi kali toka mkoa wa Pwani. mhhhh🤔
 
Lolote laweza,kutokea inaweza ikawa bahati kwake ama akapotezwa moja kwa moja.
Ila akijitahidi kumpenda binti anaweza kula mema ya nchi,kwenye maisha unaweza,kutoboa kwa staili yoyote mi namshauri ampige hiyo mimba kwanza

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Kijana ana degree na masters

Kwa sasa bado yupo kitaa anauza duka la mahitaji ya nyumbani

Kwa miezi kama nane hivi yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na binti mwenye miaka ambae kamaliza moja ya kozi undergraduate, hivi karibuni ndio kajua kwamba binti ni mtoto wa kigogo mzito tu serikalini, kigogo huyo ni mtu wa mikoa kanda ya Pwani, Ni kigogo mwenye power kubwa na connection (hajawahi kuwa Rais)

Sasa huyu muuza duka kaona kwamba asafiri wiki moja huko aliko, ahakikishe huo muda anampa Mimba.

Ni pisi kali kaona awahi mapema kupiga muhuri

Ni uamuzi sawa
What does ones education and financial status have to do with heart affairs? Mambo ya mapenzi, hayana macho ya kuona!
 
Back
Top Bottom