sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kawaida sana sikuhizi vijana kumaliza degree wana 22Ana miaka 26
ana degree
ana masters
Yule mkubwa sana ... Mpka leo hii awe na 20'sMwanaasha au ?Ila Mwana Asha atakuwa na miaka 20 plus.
Jamaa alitisha Sana kwa kweli 😂Jinsi mwana siasa kigogo atakavomfeel kijana
View attachment 2732528
Nina mashaka, pisi kali toka mkoa wa Pwani. mhhhh🤔Kijana ana degree na masters
Kwa sasa bado yupo kitaa anauza duka la mahitaji ya nyumbani
Kwa miezi kama nane hivi yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na binti mwenye miaka ambae kamaliza moja ya kozi undergraduate, hivi karibuni ndio kajua kwamba binti ni mtoto wa kigogo mzito tu serikalini, kigogo huyo ni mtu wa mikoa kanda ya Pwani, Ni kigogo mwenye power kubwa na connection (hajawahi kuwa Rais)
Sasa huyu muuza duka kaona kwamba asafiri wiki moja huko aliko, ahakikishe huo muda anampa Mimba.
Ni pisi kali kaona awahi mapema kupiga muhuri
Ni uamuzi sawa
tembea uoneNina mashaka, pisi kali toka mkoa wa Pwani. mhhhh🤔
Nimetembea na ndiyo maana nashangaatembea uone
What does ones education and financial status have to do with heart affairs? Mambo ya mapenzi, hayana macho ya kuona!Kijana ana degree na masters