Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Huyu kaka yeye kaamua kabisa kusema Mama Sabrina unasifia wengine tu hata mimi je hata sisi wa jf tusifie sio Docta ulimwengu tu,nikasema sina hiyana mie ,sina upendeleo
Ngoja mumuone akiona picha yake atakuja mwenyewe tu hapa ni kijana Tajiri kisha msomi sifa zote anazo ,,haya wadada wa jf changamkia sio kila siku unapata sura ngumu hizi hapa sura laini pia zipo humu humu.
Pia watokwa mapovu nao nawajali ntafanyaje sasa ntawarusha tu kama una pua kama ngumi sawa tu hatujajiumba ,ila hulka ya wanadamu kusemana hakuna alie sawa,yaa ukijisikia nikurushe hapa njoo pm rusha picha unayoona nzuri kwako ntakurusha hapa wachuchu watakutafuta ,mimi wangu msomali kwa sasa ananitosha nimeona anakidhi vigezo,ananiheshimu sana jamani na kujali pia,so ananifaa na hayupo humu msihangaike kumsaka pia hana kibamia sifa kuuu,sura pia anayo ya kulingishia maadui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo unaenicheki pm jua nina mtu tayari kwa sasa wala sihitaji ndoa zenu za masimango kabisa
Halaf leo nataka mapovu ili nifue nna nguo chafu mjue
Wewe ukiona Mama Sabrina anakukera usisogee wala usijihangaishe kupost maoni yako siiti mtu mnajileta wenyewe sawa
Muwe na usiku mwema pia docta anawapa hi kaona mapovu yenu kacheka sana sana yaan
Ngoja mumuone akiona picha yake atakuja mwenyewe tu hapa