SawaUsijal
Yap nitunzie tu walah mwambie anajua nampenda ila msomali wangu hapana kabisa nishamuweka moyoni,ngabu mshikajiKumbe N ni Ngabu??
Wifi utaniua wewe. Kaka ako yuko mbali hutak wasaidizi kidogo?Hahaha siruhusu unatakiwa uniombe ruhusa
MmhHahaha
Unamjua bhana
Muulize whatsapp sio pmNgoja nikamuulize pm
Kumbe kuna List?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] sema kwenye list beb hajawahi kukutaja mimi tu nakusingizua
Kweli vileee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muongo
Nakuona tuHahaa my kaka acha uchonganishi
Nasubiri uzi wa mrejesho kuhusu msomali ananguvu kama mgegedo wa bata. Hahaha Msomali wako anatokea Minnesota, Columbus, au Georgia?Hehehe msomali wangu hakuna jf nzima
Sitaki nipo mkaliWifi utaniua wewe. Kaka ako yuko mbali hutak wasaidizi kidogo?
HahahaWewe tens mfyuuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na mm usisahau kunitag huku jf usione watu wanasupportiana hata kujuana hawajuaniDuh kumbe hata ww humjui m nikionaga mnasupportiana mnatagiana najua mnafahamiana duh hadi nasita kupost uzi wake
Atakua kaona ujumbe wake hapa lazima.Yap nitunzie tu walah mwambie anajua nampenda ila msomali wangu hapana kabisa nishamuweka moyoni,ngabu mshikaji
Ukipigwa busu tu unasahau yote weyeAhahah kwanini kakutoa akuweke tu atakuwa rafiki yangu wa kufa na kuzikama na kama ikitokea harusi mwambiea toe mchango kabisa ,mi msomali nimefika mzigua sikutanii tena hatutaniani,,nafata nakopendwa ,kupangwa nimechoka,bora nisijue kujua nimechoka
Wasiwasi ondoa kabisaHahaha
Miami babaNasubiri uzi wa mrejesho kuhusu msomali ananguvu kama mgegedo wa bata. Hahaha Msomali wako anatokea Minnesota, Columbus, au Georgia?
Utanikosesha bahati bwanaSitaki nipo mkali
Shilawadu at work...namm usisahauNa mm usisahau kunitag huku jf usione watu wanasupportiana hata kujuana hawajuani
Duh kumbe jf unaweza supportiana na adui yako jukwaani mtaani mnawindanaNa mm usisahau kunitag huku jf usione watu wanasupportiana hata kujuana hawajuani