Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Mhhh hapana bado niko na wewe[emoji120][emoji120][emoji120] asante mkuu uende kwa amani
NdioooHahaa... Akuu!!!
Niliuona unapita kule mtaa wa saba kwa mzee mwalubadu, jaribu kwenda kuutafutia kule[emoji85] [emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwenyewe nautafuta usingizi hapaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naamini hilo..
Hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] mi nakuwa Mr. T2
Naanzaje kukuponda sasa best yangu..[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. Kwanini?
Uko na mimi kuhusu ninii tens hivi we ni mkristo auMhhh hapana bado niko na wewe
Najua huwezi japo hunitak tena.Naanzaje kukuponda sasa best yangu..
Ewaaa.. Wewe ni mzuri!Kama wewe tycoon umesema basi mi mzuri [emoji4][emoji4]
Niliyebatizwa kabisa nikasoma na kipaimara kila jumamosi nahudhuria jumuiya am a good manUko na mimi kuhusu ninii tens hivi we ni mkristo au
SiooooNdiooo
HahahaNiliuona unapita kule mtaa wa saba kwa mzee mwalubadu, jaribu kwenda kuutafutia kule[emoji85] [emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha sio rahisi kiivyo tunabadilishana uzoefu kidogoHahaha
Mkeo atanimwagia tindikali ujue
Nilikuita usalimie au hujaona wakumsalimia?Nipo hapa wakunyumba
Sijasemq umeanza kucheka, shunie akee bhana nikisema je!! [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kwa nini humpi heshima yeke mtawa akiongeaNiliyebatizwa kabisa nikasoma na kipaimara kila jumamosi nahudhuria jumuiya am a good man
Ahahh wala sitaki usemeSijasemq umeanza kucheka, shunie akee bhana nikisema je!! [emoji23] [emoji23]
Kumbee ngoja harudi basi ndio shemNilikuita usalimie au hujaona wakumsalimia?