Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Naona ndio kinachofatiaTaratibuuu
Msijeweka picha zetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona ndio kinachofatiaTaratibuuu
Msijeweka picha zetu
Sio vizuri ujue SakayoAkuuu
Jf mnapangwa wote mama,kila mtu anafarijiwa na kuambia nakupenda nimeshtuka mie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unikumbuke shoga anguHornet nakuja pm kwa ilee tunajuana vyema utaniambia tu
Wakunyumba kweli umeshikika na shemela wa jf shemela popote ulipo shikamoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi sipungui lakini. Tutabana tu
Zaidiiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] utamu wa sukari guru
MmmhDaah. Sawa bana. Nipo SIHA huku kwenye Kampeni za Chama!
sasa huo uchoyoHahahaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Id ni confidential
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nishazoea nakuambia kila sikua lazima pige mara mbili hapa nilipo nasubiria yeye,nishaumwa kichwa nimezoea sasa kizungu,,akisema neno la kiswahili utakufa mbavu,,lazima apige asubuhi na usiku siku zingime mchana pia,kesho kutwa nampokea hapa nalowana nikimfikiria ujue
Mkaka yupi sasa ivuga auNisaidie kumwambie huyo mkaka anifate pm nina zawadi yake
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] sema kwenye list beb hajawahi kukutaja mimi tu nakusingizuaAkuu
Huyo bebi wako atakuwa kachanganyikiwa,sijawah kubanana hapo.
Basi nikajua nanihii wa mziguaMie namjua nanihii wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmh kilichokuharibu uhuni unaonekana msela muhuni
hahahahaaa. Siku akiweka nidai elfu 50Mwambie aweke picha yake kama anajiamn
Ahahah kwanini kakutoa akuweke tu atakuwa rafiki yangu wa kufa na kuzikama na kama ikitokea harusi mwambiea toe mchango kabisa ,mi msomali nimefika mzigua sikutanii tena hatutaniani,,nafata nakopendwa ,kupangwa nimechoka,bora nisijue kujua nimechokaKwahiyo umejitoa nimwambie beb anirudishe tu dp huna shida? Tunabakia zetu na Ms Lincoln saaa hivi
MshipaSio vizuri ujue Sakayo
Achana na huyo kizee...huyo wa kwenye pichaMkaka yupi sasa ivuga au
Uko vizuri[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Zaidiiiii
Halafu mimi nampenda huyu mama Sabrina lakini hanitaki kwasababu mimi mgogo. hahahahahaKama wale sato
Ntakuletea jiraniMmmh
Sawa Jirani... Uniletee ndizi