Kijana msomi jf

Kijana msomi jf

Nishazoea nakuambia kila sikua lazima pige mara mbili hapa nilipo nasubiria yeye,nishaumwa kichwa nimezoea sasa kizungu,,akisema neno la kiswahili utakufa mbavu,,lazima apige asubuhi na usiku siku zingime mchana pia,kesho kutwa nampokea hapa nalowana nikimfikiria ujue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo umejitoa nimwambie beb anirudishe tu dp huna shida? Tunabakia zetu na Ms Lincoln saaa hivi
Ahahah kwanini kakutoa akuweke tu atakuwa rafiki yangu wa kufa na kuzikama na kama ikitokea harusi mwambiea toe mchango kabisa ,mi msomali nimefika mzigua sikutanii tena hatutaniani,,nafata nakopendwa ,kupangwa nimechoka,bora nisijue kujua nimechoka
 
Back
Top Bottom