Si bureDah! Kibongo bongo askari akijiua hazikwi kijeshi imekuaje uko kwa wenzetu wanatoa heshima zote za kijeshi
Marekani ndio duniani uko kwengine ni kuzimuKila nafsi itaonja umauti
Sipati picha angejiuwa kwenye nchi za kiarabu
Sababu za kutozikwa kijeshi ilhali ni mwanajeshi?Dah! Kibongo bongo askari akijiua hazikwi kijeshi imekuaje uko kwa wenzetu wanatoa heshima zote za kijeshi
Usilolijua ni sawa na usiku wa gizaHakuna kijana wa kitanzania anaeweza kuwa mwanajeshi huko USA. Mtu akishafikia hatua ya kuwa jeshi, au mwanajeshi huko Marekani au kwengineko, basi anatakiwa kuitwa mwanajeshi wa Marekani mwenye asili ya Tanzania. By the way pole kwa wafia, r.i.p US solder.
Huko kwenu labda. Sisi hatuna PTSD. Ndo maana tunasema huyu sio Mtanzania.PTSD is for real.
Marekani ndio duniani uko kwengine ni kuzimu
Kwahiyo Jiwe na wenzake hawakua steel!Huko kwenu labda. Sisi hatuna PTSD. Ndo maana tunasema huyu sio Mtanzania.
Sio kila gonjwa la Mzungu na sisi lazima litupate. Uviko 19 ni ushahidi tosha.
Tumezaliwa kwenye ma trauma kama yote, tume survive ma mamba mitoni, majoka misituni, ma mbu, ma vichaa ya mbwa mitaani, wachawi, madikteta, majambazi, mafisadi, wanyonya damu, njaa kali, ukoloni, utumwa,
extreme poverty, disease, death and distaster...
Hatuwezi kuwa na PTSD kwa sababu trauma haijaisha, trauma tunaishi nayo! We have the heart of steel, resilient like that!
Huko hakuna magari ya kukodi kupeleka maiti Kilimanjaro.Kwanini azikwe huko?
Mdomoni umejaa unafki ila moyoni unatamani ufikeKwako wewe ndio duniani,,,wengine hatuna time. Na mkishafika huko mnajiona kama mko peponi 😁 aisee ni mashkolo mageni mjomba.
Mdomoni umejaa unafki ila moyoni unatamani ufike
Hao waarabu wenzako wakimbizi kwanini wasiende hizo nchi zinazojitambua uko Qatar Oman wanakimbilia Western?Niache kwenda nchi zinazojitambua kama UAE, OMAN, QATAR n.k niende marekani!!! Kwanza hapa hapa kwetu panatosha sana, hali ya hewa swafi, kula nakula.,,,