Kijana mwenye asili ya Tanzania aliyejiua kwa kujipiga risasi Marekani azikwa kijeshi

Hakuna kijana wa kitanzania anaeweza kuwa mwanajeshi huko USA. Mtu akishafikia hatua ya kuwa jeshi, au mwanajeshi huko Marekani au kwengineko, basi anatakiwa kuitwa mwanajeshi wa Marekani mwenye asili ya Tanzania. By the way pole kwa wafia, r.i.p US solder.
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza
 
PTSD is for real.
Huko kwenu labda. Sisi hatuna PTSD. Ndo maana tunasema huyu sio Mtanzania.

Sio kila gonjwa la Mzungu na sisi lazima litupate. Uviko 19 ni ushahidi tosha.

Tumezaliwa kwenye ma trauma kama yote, tume survive ma mamba mitoni, majoka misituni, ma mbu, ma vichaa ya mbwa mitaani, wachawi, madikteta, majambazi, mafisadi, wanyonya damu, njaa kali, ukoloni, utumwa,
extreme poverty, disease, death and distaster...

Hatuwezi kuwa na PTSD kwa sababu trauma haijaisha, trauma tunaishi nayo! We have the heart of steel, resilient like that!
 
Kwahiyo Jiwe na wenzake hawakua steel!
 
Mdomoni umejaa unafki ila moyoni unatamani ufike

Niache kwenda nchi zinazojitambua kama UAE, OMAN, QATAR n.k niende marekani!!! Kwanza hapa hapa kwetu panatosha sana, hali ya hewa swafi, kula nakula.,,,
 
Hao waarabu wenzako wakimbizi kwanini wasiende hizo nchi zinazojitambua uko Qatar Oman wanakimbilia Western?
 
Back
Top Bottom