redpill evengalist
Member
- Sep 9, 2024
- 73
- 388
Mimi ni kijana niliyemaliza elimu ya Kidato cha Sita (Form Six) na nina uwezo wa kufanya kazi mbalimbali kwa bidii na uaminifu. Niko tayari kwa kazi yoyote halali ikiwemo za ofisini, ulinzi, kilimo, ujenzi, biashara au kazi nyingine zinazohitaji mtu mwenye kujituma.
Nina nidhamu, moyo wa kujifunza mambo mapya na uwezo wa kushirikiana na wenzangu ili kufanikisha malengo ya kazi.
Kwa sasa ninapatikana Mbeya, lakini niko tayari kusafiri na kufanyia kazi katika mikoa yote Tanzania.