Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 20,353
- 62,400
Nafikiri gharama pia ni sababu Advance gharama ni ndogo kuliko kupitia certificate na diploma siyo kila familia ina muduForm six hua mnaenda kufanya nini?
Una fan gani?
Nafikiri gharama pia ni sababu Advance gharama ni ndogo kuliko kupitia certificate na diploma siyo kila familia ina muduForm six hua mnaenda kufanya nini?
Una fan gani?
Asante mkuuHata Mbowe aliishia kidati cha sita , nina imani utafika mbali mmanyani.
Achana nae huyo, hana mchongo anakuchora tu.Nipe mchongo kaka
Hio pesa angelipa veta,Nafikiri gharama pia ni sababu Advance gharama ni ndogo kuliko kupitia certificate na diploma siyo kila familia ina mudu
Hakuna mwenye shida ya ajira.. Wewe unashida ya KipatoMimi ni kijana niliyemaliza elimu ya Kidato cha Sita (Form Six) na nina uwezo wa kufanya kazi mbalimbali kwa bidii na uaminifu. Niko tayari kwa kazi yoyote halali ikiwemo za ofisini, ulinzi, kilimo, ujenzi, biashara au kazi nyingine zinazohitaji mtu mwenye kujituma.
Nina nidhamu, moyo wa kujifunza mambo mapya na uwezo wa kushirikiana na wenzangu ili kufanikisha malengo ya kazi.
Kwa sasa ninapatikana Mbeya, lakini niko tayari kusafiri na kufanyia kazi katika mikoa yote Tanzania.
Mawasiliano:
📞 Simu: 0754 294 425
Ndio hivyo mkuuHakuna mwenye shida ya ajira.. Wewe unashida ya Kipato
Mkuu mbona kama inakuuma sana!!! Mm si nimemdirect kwa haszuAchana nae huyo, hana mchongo anakuchora tu.
Hainiumi.Mkuu mbona kama inakuuma sana!!! Mm si nimemdirect kwa haszu
Mkuu nipo serious nipe nambaKama Upo Mbeya,kuna Jamaa Yupo Chunya,mbeya.Kuna Kipindi Alikuwa Anahitaji Vijana Wa Kazi.
Ila Ni Migodini Kwenye Dhahabu.
Kama Upo Serious,nikupe Namba Yake Au?
Nimekuchek pmMkuu nipo serious nipe namba
Sijaona Chochote Pm,Nimekuchek pm
Shukran kaka Mungu akubarkiSijaona Chochote Pm,
Mcheki 0764854689
Huwa Anapatikana Kuanzia Saa 4 Asubui Hadi Saa 12.