Ushauri mzuri sana mkuuMkuu haihitaji mtaji mkubwa sana kuanza biashara yake ya kuuza hata bites
Taratibu anaweza kupikia home na akazungusha kwa wateja hata maofisini
Najua watasema mtaji
Lakini wengi tulianzisha kwa mtaji mdogo tu na kukua
🌈Vyakula vya kisasa ndio vyakula gani?