Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
FURSA KUBWA KWA WAJASIRIAMALI NA WAFANYABIASHARA!
Benki ya NMB imetenga Shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya Mikopo ya Miradi na Biashara za kusambaza Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania.
✔ Mkopo wa hadi Shilingi Bilioni 1 kwa mfanyabiashara mmoja.
✔ Muda wa mkopo hadi miaka 2 – unachagua muda wa kulipa usiozidi miaka 2.
Fursa hii ni kwa Wasambazaji wa Mitungi na Majiko ya Gesi!
UUzinduzi wa mkopo ulifanyika mbele ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, akiongozana na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba pamoja na uongozi wa Benki ya NMB.
Usikose fursa hii! Tembelea NMB kupata maelezo zaidi.
Benki ya NMB imetenga Shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya Mikopo ya Miradi na Biashara za kusambaza Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania.
SIFA ZA MKOPO:
✔ Riba nafuu ya 1% kwa mwezi (12% kwa mwaka, reducing balance hivyo effective interest rate ni 6.6%).✔ Mkopo wa hadi Shilingi Bilioni 1 kwa mfanyabiashara mmoja.