Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Kila mwaka maelfu ya vijana wanahitimu masomo yao katika vyuo mbalimbali ila changamoto imekuwa kwenye kupata ajira.
Mfumo wa nchi hii kama hauna mtu yeyote wakukuunganisha na sekta yeyote aiseeeh utasota sana kupata ajira hata kama utakuwa na vigezo kupita wengine.
Nina kaushuhuda kangu haka hapo
Miaka ya nyumba kidogo kuna ndugu yangu mmoja alihitimu masoma yake ya chuo huko UK, akizakiwa katika familia ya kitajiri kwani wazazi wake walikuwa watu wakubwa serikalini.
Bahati mbaya kipindi anamaliza masomo yake wazazi wake walikuwa tayari wamesha stahafu serikalini.
Hivyo baada ya kurudi nchini alisota kidogo kupata ajira, ikabidi wazazi wake wamsaidie maana wao wanafahamiana na watu wengi wenye nyazifa zao, licha ya wazazi wake kufahamiana na watu haikuwa rahisi yeye kupata ajira.
Hivyo ikawabidi waingie mfuko na kutoa kuasi cha tsh. 600,000 ndio mtoto wao akapata ajira.
Nyingine hii hapa, Ndugu yangu mwingi alihitimu masomo IFM baada ya kuhitimu kimbembe cha kutafuta ajira kikaanza huyu baba yake naye alikuwa si haba anazo na alikuwa akifahamiana na watu.
Hivyo na yeye ikabidi ambebe mwanaye, nakumbuka kulikuwa wizara ya fedha ilitangaza ajira hivyo vijana mbalimbali walikwenda kujaribu bahati zao hapa bahasha ikatumika, kilichifanyi alikuja mtu nakuita jina lake fulani mimi hapa, moja kwa moja kwenye inter view, mwisho wa siku akapata ajira wizara ya fedha.
Kijana mwenzangu licha ya kuwa na vigezo jichanganye na watu kwa kuwa hauna wa kukushika mkono usitegemee vyeti vyako pekeee.