Kwa kuzingatia Tanzania Tuitakayo hatuna budi mawazo yetu, fikra na mitazamo yetu, imuakisi kijana wa sasa na badaeTukiwa taifa ambalo tumejaliwa kuwa na kila rasilimali, ambazo tunaweza kuzitumia kuipata Tanzania Tuitakayo kuanzia miaka 5 Hadi 25, basi hatuna budi kuwekeza katika Mambo yafuatayo ambayo yatamgusa kila kijana na ajira.
KILIMO NA UFUGAJI
Napenda kijana awe muhusika wa moja Kwa moja katika Mambo yafuatayo ambayo serikali inapaswa kuyafanya bila kusita;
•Kutengeneza program za muda mfupi za Elim ambazo zitawanufaisha vijana kujiajiri katika kilomo na mifugo, kila kijana atasoma zao moja tuu, la kuzalisha.
•Baada ya masomo hayo, kila kijana apewe hekari moja na pembejeo bure Kwa awamu ya kwanza, ili kijana aweze kupata mtaji ili aende kuendeleza zao lake, tayari atakua na uzoefu chini ya uangalizi wa afisa kilimo na mifugo wa serikali.
•Kijana atakua analipa gharama za pembejeo kidogo kidogo alizopewa kama mtaji wake.
ELIMU NA TEKNOLOJIA
Ili kuwagusa vijana inatupasa tufanye yafuatayo;
•kwa wanafunzi wa vyuo, ambao kozi zao hazihusishi matumizi ya maabara na katakana kujifunza masomo yao yafanyike Kwa njia ya mtandao, hii itaipunguzia serikali, gharama ya kuwaweka wanafunzi hosteli na kujenga miundombinu Kwa ajili ya kundi kubwa la wanafunzi vyuoni, idadi ya waalimu itapungua.
•Kununua vifaa vya kujifunzia ambavyo vinaendana na teknolojia ya kisasa.
NISHATI
Nishati ya uhakika vipindi vyote vya mwaka kutapunguza gharama za uzalishaji wa malighafi na bidhaa kutoka Kwa mkulima kwenda Kwa mlaji au viwandani,
Hivyo miradi ya kimkakati kama bwawa la Mwl.Nyerere, usambazaji wa gesi asilia, miradi ikamilike Kwa wakati na ubora wa kimataifa. Ili kuvutia uwekezaji mkubwa wa viwanda na makampuni makubwa ambayo yataajiri vijana wengi wa kitanzania, kutapunguza kundi la watu tegemezi Kwa serikali na kuongeza Pato la taifa na mwananchi mmoja mmoja.
MICHEZO
Katika michezo tunaweza kubadirisha vipaji kua ajira Kwa vijana wetu, Kwa kufanya yafuatayo;
•Mashindano yoyote ya ndani lazima kila timu ichezeshe kijana mtanzania Alie chini ya miaka 20, pia kila timu inayoshiriki mashindano ya kitaifa lazima iwe na timu ya vijana chini ya miaka 20, na mamlaka husika lazima ziandae na mashindano yatayohusisha hao vijana, mashindano yenye ubora wa kuwashindanisha vijana wetu katika soko la kimataifa.
•Kuweka vituo maalum Kwa ajili ya kulea vipaji vitakavopatikana kutoka mashindano ya UMISETA na UMITASHUMITA, hivyo basi kutakuwa na uhakika wa kupata vipaji endelevu muda wote.
•Kuunganisha vituo vyetu vya kulea vipaji na vituo vikubwa vya kimataifa vinavyozalisha wachezaji mashughuli duniani, hii itawapa msukumo mkubwa wa vijana wetu kuendelea kutunza na kulea vipaji vya Kwa malengo ya kuwa wakimataifa pia kulisaidia taifa katika mashindano makubwa ya kimataifa.
RASILIMALI WATU
Ili mawazo yote yaweze kufanyiwa utekelezaji wake, basi serikali haina budi kutengeneza mifugo mizuri ya huduma za jamii kama vile afya(hospitali) bora, maji, nishati ya uwakika, miundombinu ya usafiri na usafirishaji. Kwa Tanzania ya sasa yenye Zaidi ya watu milioni 60, hii inamaanisha tuna nguvu kazi ya kutosha ya watu wenye kufanya kazi za kitaalamu na kazi za kutumia nguvu, pia idadi hii ya watu, Ni soko kubwa sana la ndani ambalo linauwezo mkubwa wa kutengeneza mzunguko mzuri wa biashara ya ndani. Pia ili tuweze kuwa na uzalishaji wa uhakika, mazingira na miundombinu inapaswa kuwa yenye ubora wa kutosha na viwango vya kimataifa. Pia huduma kama maji Safi na salama na nishati Safi inapaswa kuwa ya uhakika Kwa kila mwananchi.
MAZINGIRA NA UTAWALA BORA
Ili tuweze kuipata Tanzania Tuitakayo serikali iwe inayotekeleza na kusikiliza maoni na mtakwa ya wananchi wake kulingana na ustawi wa taifa Kwa ujumla, pia kuboresha mifumo ya kidemokrasia ili watu kufanya maamuzi sahihi bila kupata shinikizo lolote, kudumisha Amani na mshikamano kati ya wananchi wenyewe, wananchi na serikali bila kujali dini, misingi ya kisiasa, makabila au ukanda fulani katika kutoa nafasi mbalimbali za kiuongozi ndani na nje ya serikali.
Ushilikishwaji wa taasisi mbalimbali ya kiserikali na yasiyo ya kiserikali, makundi maalum na makundi ya Dini katika kufanya maamuzi mbalimbali na utengenezaji wa sera shirikishi zinazolenga kumgusa kila raia kulingana na nafasi yake katika jamii na taifa Kwa ujumla.
MAZINGIRA wezeshi yatakayosaidia uwekezaji mdogo na mkubwa ambao utatunza na kuacha mazingira rafiki Kwa vizazi vya badae, mazingira hayo yatatufanya kujikinga na mabadiliko ya tabia nchi yanayotokea Kwa kasi kubwa ulimwenguni.
KWA UJUMLA WAKE, kama taifa inatupasa kubadili mitazamo, na falsafa za kiutendaji ambazo zitatuchelewesha kuipata Tanzania Tuitakayo Kwa wakati wake, Hivyo Ni jukumu la kila mtanzania kubadilka kufikiri, kutafakari na kutenda Mambo yanatuzunguka kila siku ili tuweze kuifikia Tanzania ya ahadi. Bila kujali sababu zozote inatupasa kupata watendaji imara wa kuweza kusimamia Sheria na kanuni Sawa Sawa.

Upvote
1