Evalyne Kamugisha
New Member
- Jul 27, 2022
- 1
- 0
Ngoja nikwambie kitu kuhusu kijana wa leo wa kitanzania.
Vijana hatulali, vijana tunawajibika kufikia malengo yetu;
Kila kijana ana ile ndoto kubwa anayoitamani kuifikia, na katika harakati za kuifikia ndoto hiyo kijana hukumbana na changamoto nyingi sana, Sitozisema hapa, sababu kila kijana ndani ya uvungu wa moyo wake ana ile changamoto, wasiwasi, mikwamo N.k katika kufikisha lengo lake
Una wasiwasi na nini!? Ukishajua ilo, utaelewa na kutafuta njia gani bora ya kukabiliana na kutatua iyo changamoto Ila HAKUNA KUKATA TAMAA.
Elimu tunayopata kupitia wazazi au walezi wetu nyumbani hutosha kuishi maisha HALISI ya kama kijana, halisi nimemaanisha unachoota, unachotamani ukiwa mashuleni,vyuoni,.kwa njia moja au nyingine unaeza usikute hivo mtaani, Hekima na Busara uliofundishwa nyumbani ndiyo utaishi nayo ukiwa mbali na nyumbani.
Hii sio nadharia, ni ukweli unaouma utakaokutana nao wewe kijana kwenye harakati za uwajibikaji wako katika maisha. Vijana wenzako tushaamka tunawajibika, kesho yetu inaanza na SISI.

Upvote
0