Felixonfellix
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 1,672
- 183
eti anajupenda kupita kiasi...LOL! Sasa unalalama nn kuwa ni bahili? kwenye upendo wala huhitaji pesa kiivo...
Wewe endelea kutumika bana....
Mkuu huwezi amini! mama ananifata maeneo ya officini na li V8 lake,anapaki sehemu,ananiita kwa cim kisha anaacha gari yake na tunatumia mkweche wangu wa dola 2000.....haoooooo hadi mafichoni somewhere,nakula mzigo vizuuuuri hadi anaridhika! simbaki wala nini!.Hebu niambie kaka...huyo mke wa mtu unambaka au anakupa kwa hiari yake mwenyewe?
Mkuu hayo ndiyo mambo ya mjini inabidi uyazowee tu....umri wake ni kati ya miaka 55 hadi 60 hivi (i guess)Kweli umeamua kufanya tendo la ndoa na Mzazi wako..? ama kweli dunia ni Tambala Bovu. range ya 29 na 50 ni kubwa sana ndugu yangu.
Heshima mbele wana jamvi!. Hii ni true story na siyo tungo.
Ni mara chache sana huwa napita kwenye jukwaa hili la MMU....jukwaa la siasa ndiyo maskani yangu hasa.
Ila kutokana na issue ambayo inanichanganya kidogo,nimeona si mbaya kwa leo nikipita huku ili kupata maoni kidogo juu ya swala hili.
Binafsi mie ni kijana,siko chini ya miaka 29 na sijafikia miaka 35. Kama mnavyojua mambo ya mjini katika mizunguko ya hapa na pale
siku moja nikakutana na lijimama (mke wa mzito fulani) yaani ni lijimama la nguvu,limepanda hewani,maji ya kunde. Umri wake nahisi ata
kuwa kwenye 55 au 60. Tokea tumeanza mahusiano huu ni mwezi kama wa 7 hivi, lakini kitu ambacho kinanisikitisha ni hubahiri wa huyu
mama kwenye pesa. Yaani ananipeleka kwenye hotel za bei na analipia room kuanzia elfu 50 hadi 80,nakula na kunywa ninachokitaka na
analipa bili yote! lakini linapokuja swala la kumuomba anisaidie pesa kiasi fulani' basi hapo huwa mbogo na mkali....na hiyo pesa hanipi.
Kama kujituma tuwapo kwenye 6x6 najituma sana hadi mwenyewe anaridhika,lakini likija swala la mimi kutaka pesa mama anakuwa bahili.
Sasa najiuliza, maisha haya mpaka lini? ukizingatia kitu ninachokifanya ni zambi kwa mungu! na mke wa mtu ni sumu. Lakini majuzi kaniam
bia eti kuna kitu cha maana sana atanifanyia na nitafurahi sana....lakini simwamini kutokana na ubahili wake (lakini ni family yenye mshiko)
Naombeni ushahuri wenu jamani! - Je ni kweli iko siku atanitoa au ananitumia tu kama condom?.
Mkuu huwezi amini! mama ananifata maeneo ya officini na li V8 lake,anapaki sehemu,ananiita kwa cim kisha anaacha gari yake na tunatumia mkweche wangu wa dola 2000.....haoooooo hadi mafichoni somewhere,nakula mzigo vizuuuuri hadi anaridhika! simbaki wala nini!.
Mkuu hii ni true story....sema limama lenyewe tuni mkono wa birika

Alaaa!! Kumbe jimama ndo linajileta lenyewe...hahahahaaa.....huyo mume kapata hasara kweli. Ila pia huwezi kujua huenda mume naye ana katoto ka sekondari anakojivinjari nako.
Hujakosea mkuu! si unajua hizi familia bora za masaki na mikocheni? chochote kinawezekana kati ya hivi vitu 2. Usikute wamechokana au mzee ana dogodogo au nyumba ndogo mpya. Kuna siku huyu mama aliniambia tokea huu mwaka uanze wamekutana na mzee mara 2 tu kwenye tendo la ndoa! Sasa hapo unategemea nini mkuu?Alaaa!! Kumbe jimama ndo linajileta lenyewe...hahahahaaa.....huyo mume kapata hasara kweli. Ila pia huwezi kujua huenda mume naye ana katoto ka sekondari anakojivinjari nako.

Hawa ni hiyari yao wenyewe wawili...sasa huyu mbona analalama juu ya ubahili wa hilo jimama?
Hujakosea mkuu! si unajua hizi familia bora za masaki na mikocheni? chochote kinawezekana kati ya hivi vitu 2. Usikute wamechokana au mzee ana dogodogo au nyumba ndogo mpya. Kuna siku huyu mama aliniambia tokea huu mwaka uanze wamekutana na mzee mara 2 tu kwenye tendo la ndoa! Sasa hapo unategemea nini mkuu?

Ana haki ya kulalama kama anaona kazi anayofanya haiwiani na fidia anayoipata.

mbona kwenye maelezo hajasema kama walikubaliana kuwa atafidiwa? Au huyu jamaa akili yake ndo ilimtuma kuwa atapata fidia kwa huduma atakayompa jimama, kama ilivyo kawaida ya vijana wadogo wanapotembea na majimama...
Basi imekula kwake asubiri hiyo zawadi usikute anajengewa mansion huko O'bay!

Wewe ulitaka aseme au aandike neno "fidia" ndo ujue kwamba anafidiwa? Ushawahi kusikia kuhusu non-verbal agreements na implied compensation?

Avute subira tu hadi aione hiyo zawadi.

Hilo la implied/non verbal agreement lipo tu na nalifahamu vilivyo!
Huyu anachozungumzia ni 'kutosiadiwa' pindi anapoomba. Kwa hiyo mi napata picha huo ni msaada tu na wala si sistahili yake na hivyo hilo jibibi lake lina hiyari ya kumpa au kutompa!
Edson watoto wa siku hizi wana laana, imagine sijui hata yukoje kule loooo,na wamama wengine tangu sixteen wanafanya hawachoki??????????????????????mshika chumaaaaaaaa......hivi hiyo age ya 55-60 huyo mama yuko fiti kiaje...anayawea mambo kweli mbona umri huo umemtupa mkono sana........anaweza kutikisa kweli mkuu......
NB:aliwah kukwambia ana watoto wangapi?...

Kama yeye Mshikachuma huwa yupo readily available pindi jimama litakapo huduma zake sioni kwa nini jimama lisirudishe hisani ya msaada pindi Mshikachuma auombapo!

na yeye kwa nini akihitajika tu anapatikana? Si kwamba na yeye anakuwa anamuhitaji jimama?
Hapo tayari wanasiaidana.
Na usikute bajeti ya jimama ni kwa hoteli na vyakula wanavyokula tu hajapangia kumfidia kidumu chake.
Hii ndo dawa ya watu kama Mshikachuma. Raha si wanapate wote?